Nani anafahamu matumbo ya mbuzi Wachina wanayafanyia nini?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,397
Kila nikienda vingunguti kutafta nyama ya mbuzi; huwa nakuta haina matumbo; ukiuliza unaambiwa Wachina wameyanunua kwa oda!

Je, Wachina wanakazi gani spesho na Yale matumbo ya mbuzi?

Maana inavyoelekea yatakuja kuwa adimu kama Mabondo ya samaki huko Mwanza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom