Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume

Dec 20, 2016
98
109
Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo.

Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na kupata shavu hapo.

Na leo ilikuwa ndio tarehe ya kurepoti hapo na kupangiwa kazi ya kunisaidia mimi na mke wang na familia ingawa ilikuwa sio ya maslahi makubwa.

Lakini leo asubuhi nimefika ofisi za jiji na kukutana vikundi vidogovidogo vya wafanyakazi.

Wakiteta na wakiwa na majonzi ndipo nilipoenda reception na kupewa taarifa kwamba hata wao kazi hawana.

Na kuambiwa ajira zimeota mbawa nimechoka sana kumbe halmashauri no longer exist.

Mungu nisaidie tu
 
Pole sana mkuu, haikua sawa kukustaafisha kazi mapema hivyo. Mungu ni mwema,utapata riziki yako
 
Mtapangiwa halmashauri zingine mkafanye kazi..ukishapewa cheki no. Katika utumishi waumma usihofu sana serikali ipo inafanya kazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo.

Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na kupata shavu hapo.

Na leo ilikuwa ndio tarehe ya kurepoti hapo na kupangiwa kazi ya kunisaidia mimi na mke wang na familia ingawa ilikuwa sio ya maslahi makubwa.

Lakini leo asubuhi nimefika ofisi za jiji na kukutana vikundi vidogovidogo vya wafanyakazi.

Wakiteta na wakiwa na majonzi ndipo nilipoenda reception na kupewa taarifa kwamba hata wao kazi hawana.

Na kuambiwa ajira zimeota mbawa nimechoka sana kumbe halmashauri no longer exist.

Mungu nisaidie tu
hizo ajira zilikuwa za muda au ni za kudumu..mkataba ulisaini au ni kwa malipo ya posho tu...
 
Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo.

Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na kupata shavu hapo.

Na leo ilikuwa ndio tarehe ya kurepoti hapo na kupangiwa kazi ya kunisaidia mimi na mke wang na familia ingawa ilikuwa sio ya maslahi makubwa.

Lakini leo asubuhi nimefika ofisi za jiji na kukutana vikundi vidogovidogo vya wafanyakazi.

Wakiteta na wakiwa na majonzi ndipo nilipoenda reception na kupewa taarifa kwamba hata wao kazi hawana.

Na kuambiwa ajira zimeota mbawa nimechoka sana kumbe halmashauri no longer exist.

Mungu nisaidie tu
Ccm mitano tena
 
hicho kichwa ni cha uongo, sio kweli hiyo methali ingefutwa tu
 
Back
Top Bottom