mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbunge asijitolee diwani akalipwa mshahara? Kama chakula kidogo anaachiwa mdogo

    Hivi ni kigezo gani kilitumika kuamua Mbunge alipwe maslahi ya uhakika halafu diwani afanye kazi kwa kujitolea? Kama hoja ni kwamba uwezo ni mdogo 'chakula', kwa mila za kitanzania chakula kikiwa kidogo, wakubwa huachia wadogo. Sasa mbona kama kwenye hili liko kinyume nyume? Kama hoja ni...
  2. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CCM rudisheni utaratibu wa awali wa namna ya kumpata Mbunge, wapatikane 3 kisha ndio wapigiwe kura za maoni. Hili la Kawe ni somo tosha

    Uongozi wa CCM muda bado mnaweza kufanya mabadiliko rudusheni utaratibu wa zamani ili kumpata mbunge bora, ule utaratibu wa mwanzo wa watu kupimwa kwanza na Kamati husika kabla ya kura za maoni ndio unafaa kisha zipatikane 3 bora zikapigiwe kura za maoni na Wajumbe wa Halmashauri ya Jimbo...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Momba (CHADEMA), Davidi Silinde achukua fomu ya kuwania Ubunge Tunduma

    Aliyekuwa Mbunge wa Momba (2015-2020), David Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Mbeya
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Niwe Mbunge, nipeleke shida za Wananchi kwa RC ili anitatulie? Hakiingii akilini

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi amesema kuwa hana mpango wa kugombea Ubunge, kwani akiwa Mbunge itamulazimu kupeleka shida za wananchi wake kwa Mkuu wa Mkoa ili amtatulie, kitendo ambacho hayuko tayari kukifanya. Hapi ametoa kauli hiyo hivi karibuni, wakati akifanya mahojiano maalum na EATV na...
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum CUF akabidhi Computer na Printer kwa ajili ya Uchaguzi Handeni Mjini

    MHE. SONIA MAGOGO AKABIDHI VIFAA COMPUTER NA PRINTER KWA AJILI YA KUSAIDIA SHUGHULI NA UCHAGUZI WILAYANI HANDENI MJINI #HandeniMjiniNiSoniaMagogoSasa. #SoniaMagogoTenaMjengoni
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

    Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade. Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM. Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo. Kila la heri...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyovu, Albert Obama akamatwa na TAKUKURU kwa kugawa Rushwa

    DG, Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo...
  8. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Sabreena Sungura Atia nia kugombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Wananchi CUF

    Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF. Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji. #2020WanawakeTunawaaminia.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

    Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo. Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

    Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?
  11. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sirisia John Waluke ahukumiwa kuhudumu kifungo cha miaka 67 gerezani au faini ya KES 1Billion kwenye kesi ya ufisadi dhidi yake

    Siku ya 40 ya mwizi hatimaye ilitimia kwa Mbunge wa Sirisia John Waluke na mshukiwa mwenza Grace Wakhungu, kwenye kesi ya ufisadi dhidi yao ndani ya mahakama ya ufisadi(Anti-Corruption Court) jijini Nairobi hivi majuzi. Hii ni baada ya Chief Magistrate Elizabeth Juma kuwapata na hatia, wao na...
  12. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Mr. Masementi: Mbunge aliyestaafu Singida Magharibi

    MR MASEMENTI, hili ni jina alilobatizwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi 2015- 2020 ndugu Bariki Kingu. Hili ni jina maarufu kutokana na tabia ya huyo ndugu kudhani kila wakati akiulizwa kero za wananchi anafikiria wanahitaji Mifuko ya sementi. Cha kuna tukio alilowahi kupita...
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa namna Arusha ilivyotaabika, kwa sasa tunahitaji Monoban awe mbunge wa Arusha

    Hapo vip!! Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha. Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Haule 'Prof. Jay' msemaji rasmi wa Kilosa

    29 Juni 2020, Mbunge wa CHADEMA mkoani Morogoro leo ameonesha sababu ya wananchi wa Morogoro siyo tu jimboni kwake Mikumi kumkubali kwa kusema wazi bila woga changamoto zinazoikabili mkoa wa Morogoro. Pia wananchi wameonesha kumkubali bila kujali vyama ikiwa mbunge anatetea maslahi ya ustawi...
  15. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

    Anatatua shida za Wananchi kijiji kwa kijiji Pia ataweka jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa kutoka kilosa hadi makutupora === Rais Magufuli amekwishafika eneo la uwekaji wa jiwe la msingi ambapo amepewa maelezo ya kina juu ya Mahandaki hayo na namna ambavyo yatakavyofanya kazi. Rais...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

    Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe. Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema... Mimi narudia...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

    Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliyehukumiwa kwa uhujumu uchumi na kulipa faini ashangiliwa na wanaccm kwa kutekeldza vizuri Ilani ya CCM!

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni Mbunge Nchambi ameshangiliwa sana na wanaccm wa mkoa wa Shinyanga alipoelezea namna alivyotekeleza kwa ufanisi mkubwa ilani ya CCM. Nchambi alikuwa akijieleza katika mkutano wa CCM wa mkoa ambapo wabunge walitakiw kutoa mrejesho wa majukumu yao, wabunge...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani Lijuakali Aliyemwaga chozi bungeni akabidhiwa rasmi kadi ya CCM kwenye mkutano wa hadhara

    Huku viongozi wa upinzani nchini Tanzania wakikamatwa kwenye mikutano ya ndani , Msaliti Njaa Peter Lijuakali leo amekabidhiwa kadi ya chama chakavu kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kidatu wilayani Kilombero
  20. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu. Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B...
Back
Top Bottom