Mbunge wa CHADEMA aliyehamia CUF Mhe. Sabrina Sungura amemtakia Mhe. Mbowe uponyaji wa haraka na kusema hiyo ni mitihani tu na Mungu atamjaalia kuishinda.
Sungura amewataka wabunge wenzake wawe washika dini kwa kutakiana mambo ya heri badala ya kuombeana vifo. Amesisitiza kuwa Mungu hapendi...
Ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro inamchunguza Mbunge wa Viti MAALUM (CCM) Dk.Christine Ishengoma, kutokana na tuhuma za kugawa rushwa kwa wapiga kura huku ikiwahoji watu mbalimbali kutokana na tuhuma hizo.
Aidha TAKUKURU imewafikisha mahakamani...
Daniel Arap Moi, alikuwa rais wa Kenya aliyeingia madarakani Desemba 28, 1978 baada ya Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya kufariki.
Arap Moi amekuwa Rais wa Kenya kuanzia 1978 hadi mwaka Aprili 9, 2002 ambapo urais ulichukuliwa na Mwai Kibaki.
Mbali na Daniel kuwa Rais alikuwa mbunge tangu...
Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.
Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
Nimehama CHADEMA kwenda CUF ambako hakuna udini, Wabunge wa viti maalum CHADEMA tulikuwa 36 kwa ujumla wetu lakini Waislamu ni watano tu, huko Wilayani Waislamu wengi wanafanya kazi kubwa ya kukinadi Chama lakini ukifika kwenye uteuzi wanabaguliwa"
"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda...
“Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru,"
Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika...
Mbunge wa Viti maalumu Kigoma, Sabriana Sungura ameambatana sambamba na aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wilfred Rwakatale kuhamia chama cha Wananchi CUF.
Aidha, katika katika shamrashamra za Wabunge hao kupokelewa katika Chama cha CUF, Mh. Sabriana...
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
Naenda kwenye mada moja kwa moja Mkuu kwanza; katika kipindi hichi umeonyesha ukomavu mkubwa sana pamoja yaliyotokea pitia Chama chako .
Ulitangaza kuacha siasa,sawa ila nikushauri huna sababu ya kufanya hivyo tafadhali badilisha mawazo yako .
Nimeona clip zako zimenigusa sana ,Haijalishi...
Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena...
Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai
Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)
Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20
Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili
Lijuakali...
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote...
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote...
Mbunge Lijualikali amesema Chadema hakuna demokrasia na swala la kwenda karantini KUB Mbowe aliwalazimisha bila kufuata wowote.
Lijualikali amesema Mbowe amedai wabunge waliohudhuria bungeni baada ya yeye kuwakaza wanafuata posho. Adai wabunge waliokwenda karantini wanawaomba wao akina...
WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 10 ya mwaka...
Mbunge wa kinondoni mh Mtulia amelitangazia bunge kuwa ni kweli alipata maambukizi ya Covid 19 na sasa amepona na amewaomba wabunge wenzake wasimnyanyapae.
Mtulia amemshukuru sana mh Spika Ndugai kwa namna alivyomshughulikia wakati anaumwa.
Mbunge wa Mbeye Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Chadema ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa moja ya mitandao ya kijamii, nanukuu:
Nimekumbuka kitu hapa, nimebaki nacheka tu..
"Aliysema watu wataikimbia Dar Kaikimbia yeye Dar..
Je, kwa muktadha wa maneno haya Mheshimiwa Mbunge...
Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu
Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
TAMKO KUHUSU UKIUKWAJI WA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ULIOFANYWA NA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ndugu Waandishi wa Habari,
Awali ya yote niwashukuru na kuwapongeza kwa kazi kubwa mnayoifanya hasa wakati huu ambapo dunia inaendelea kupambana na janga la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.