mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976. Ni kampeni za kihistoria, karibu. ========== Updates; MIGORI, IRINGA LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
  3. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani Bara kuwa Mbunge wa Jimbo kwa zaidi ya miaka kumi sio rahisi

    Kwa hali jinsi ilivyo, sio rahisi kwa Mbunge wa Upinzani Bara ambaye ameshinda Ubunge wa Jimbo kwa vipindi viwili kushinda tena kipindi cha tatu katika Jimbo hilohilo. Ukiangalia kwa sasa, majimbo ambayo wabunge wa upinzani wana wakati mgumu ni yale majimbo ambayo wamekuwa wabunge kwa vipindi...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kapasha Hajji Kapasha - Tabora Kaskazini hatujapata Mbunge makini wa kutatua changamoto zetu, nichagueni Oktoba 28 nipige kazi

    TABORA KASKAZINI HATUJAPATA MBUNGE MAKINI WA KUTATUA CHANGAMOTO ZETU, NICHAGUENI OCTOBA 28 NIPIGE KAZI "KAPASHA HAJJI KAPASHA" Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Kaskazini, Kapasha Hajji Kapasha amesema tabora kaskazini tupo nyuma kwa kila kitu kwa sababu hatujapata mbunge makini wa kutuwakilisha...
  5. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia. === Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa aliugua ghafla. Swala ya maiti itafanyika leo Alasiri September 15 katika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM haiwezi kulisemea suala la Mbunge kupita bila kupingwa kwa sababu ni jambo la Kikatiba

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika. Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua. Maendeleo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna Mtu 'ameshaaminishwa' kabisa tayari ni Mbunge wa Kawe, ila kuna uwezekano Siku ya Matokeo 'akafa' pia

    Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

    Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti...
  9. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Siioni Amani wala Upendo Jimbo la Kawe endapo Gwajima akiwa Mbunge; CCM mngeweka mtu mwingine

    Nataka niongee kama mwananchi mkazi wa jimbo la KAWE bila kuingiza chembe hata moja ya itikadi au kugusa maslahi ya mtu binafsi. Nataka nizungumze ukweli mtupu kulingana na matendo ya huyu bwana siku zote. JE, GWAJIMA ANAWEZA KULETA UPENDO NA AMANI KAWE? Naomba nisiwe mnafki niuseme tu...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
  12. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania GE2020 Miradi hii mikubwa ya barabara, maji kumpa kura za ndiyo Mbunge anayetetea Jimbo la Ilemela, Angeline Mabula

    Miradi hii mikubwa ya barabara, maji kumpa kura za ndiyo Mbunge anayetetea Jimbo la Ilemela, Angeline Mabula MGOMBEA ubunge jimbo la Ilemela kupitia CCM, DK. Angeline Mabula amesema katika kipindi cha uongozi wake amefanikiwa kufanya kazi kubwa kwenye nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo ya...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Akiwa Shinyanga Mjini Rais Magufuli anawataka Wananchi wasichague Mbunge wa Upinzani hata kama anafaa, kweli?

    Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa uongozi ni kuhujumu uchaguzi mkuu. Maneno kama haya kuzungumziwa wananchi ni kama kuwatisha kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

    Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge. Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape. My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu. Maendeleo hayana vyama!
  15. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  17. kiraia

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

    Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la MwanaHALISI la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya kampeni huko Singida kuwa "Ni bora Dr Slaa kuwa raisi kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge" hii hofu ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania/Dunia ya leo Katiba kuruhusu Darasa la Saba kuwa Mbunge ni aibu kwa Taifa

    Sina nia ya kuwadharau wale wenye elimu ya Darasa la Saba ila ninaandika haya kwa kuzingatia nafasi ya uwakilishi wa Jimbo na unyeti wa nafasi hii. Dunia/Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya 60s. Tunahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja zote ikiwemo katika nafasi za ubunge. Mbunge ni mtu...
  19. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We ulisikia wapi? NTV ya Kenya imemuangazia Mbunge Seleman Bungara

    Huyu Mbunge ana sarakasi kweli kweli. Hii video ya NTV ya Kenya inaonyesha video ya vituko vyake.
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

    Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Back
Top Bottom