29 Juni 2020,
Mbunge wa CHADEMA mkoani Morogoro leo ameonesha sababu ya wananchi wa Morogoro siyo tu jimboni kwake Mikumi kumkubali kwa kusema wazi bila woga changamoto zinazoikabili mkoa wa Morogoro.
Pia wananchi wameonesha kumkubali bila kujali vyama ikiwa mbunge anatetea maslahi ya ustawi wa wananchi kijamii, kiuchumi, kiafya na kielimu.