Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Sabreena Sungura Atia nia kugombea ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Wananchi CUF

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Mhe. Sabreena Sungura Atia Nia Kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es Salaam Kupitia Chama Cha Wananchi CUF.

Sabreena Sungura Mwanamama Jasiri Na Mpambanaji.

Sabree.jpg

#2020WanawakeTunawaaminia.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom