Huu wakati ndani ya Chama cha Mapinduzi tunaweza kusema ni muda wa lala salama au muda wa majeruhi na hii inapelekea wananchi wote pamoja na wanaCCM kusubiri ni nani jina lake litarudi na hii macho yote ni kwa majimbo yote Tanzania nzima. Miaka ya nyuma tungekuwa tumeishashangilia ushindi lakini...
Aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga anashikiliwa na kikosi kazi cha serikali kutoka Makao Makuu Dar, kinachohusika na kukusanya madeni.
Taarifa za uhakika zinasema Kalanga alikamatwa majira ya jioni nje ya ofisi za NMB na askari wa Takukuru na baadaye kupelekwa ofisi za Takukuru mkoa...
Habari Wana JF naombeni msaada wa yeyote anayefahamu huyo mzee Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni Magharibi Mkoa Wa Singida.
Sijamsikia muda mrefu kwenye ulingo wa kisiasa na Je Bado Mbunge? mwaka huu aligombea Tena Kura za Maoni?
Nakumbuka tu hoja zake Bungeni na na Kusambaratisha Upinzani Jimboni...
Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda
Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
Sabato ya leo nimejikuta najikumbusha kizungumkuti cha Uchaguzi Mkuu wa 1995 katika jimbo la Iringa Mjini.
Wagombea wetu walikuwa Ben Mkapa ( CCM) vs Lyatonga Mrema ( NCCR mageuzi) kwa urais.
Mwalimu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa ( NCCR mageuzi) vs Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine ( CCM) kwa...
Naandika kwa uchungu mkubwa juu uwajibikaji wa mbunge wetu wa kipindi cha 2015 - 2020. Tangu mbunge huyu apate ubunge mpaka wa leo hajaonyesha juhudi zozote za kusaidia maendeleo ya wilaya ya Karagwe kama alivyoahidi alipogombea ubunge. Aliahidi atakapopata ubunge, atashughulikia bei ya Kahawa...
Ndugu Wajumbe,
Taifa letu lina raia zaidi ya Milioni 60 na kila baada ya Miaka mitano tunafanya uchaguzi wa kuchagua wabunge madiwani.Lakini katika hio miaka mitano mitano huwa tunakuwa na zaidi ya Wabunge 350 pamoja na wa viti maalumi ambao wote hulipwa kila mmoja zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mwibara kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 Mheshimiwa MUTAMWEGA MGAYWA amepitishwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi octoba...
Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge.
Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa...
MASLAHI YA MBUNGE:
- Mshahara: TZS 3.8M kwa mwezi
- Shangingi la kutembelea (wanakopeshwa bei chee)
- Posho ya mwezi: TZS 8M kwa mwezi
- Posho ya Kikao: TZS 240K kwa siku
- Posho kujikimu: TZS 120K kwa siku
- Pensheni: TZS 240M baada ya miaka mitano
- Bima ya afya ya daraja la kwanza kwako na...
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi.
Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza.
So wale watani zangu wa Ufipa...
Habari za leo ndugu zangu,
Natumai nyote muwazima.
Mimi ndugu yenu nimekua nikiona mara baada ya viongozi kuteuliwa na Rais, inatengwa siku tena maalum ya kuwaapisha. Katika hiyo siku nimekua nikiona wanainua mkono mmoja juu alafu kuna maneno fulani wanayatamuka. Na mwisho wanamalizia kwa...
Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne.
Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM.
Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo.
Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na kupokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho...
Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya .
Mytake : Wassira bado yupo
Huyu kamanda alikuwa diwani wa Tabata , ni mtu shupavu asiyekubali kuburuzwa kibwege , baada ya kutambua hilo wanachadema wa Rombo wamempitisha kugombea ubunge ili kuziba pengo la msaliti Selasini .
Duru za wenyeji zinaonyesha kwamba hakuna wa kumzuia kuchukua jimbo hilo .
Mungu ibariki Chadema
Halafu mtu analalamika kuwa JPM anapendelea wabunge wa mikoa ya bara katika kuunda Baraza la Mawaziri. Tunapoingia uchumi wa kati ndugu zangu changueni wabunge wasomi.
Hawa ndio wenye sifa ya kumsaidia mhe. JPM. Achaneni kumchagua mtu kwa vigezo vya pesa, mnasikia ndugu zangu hasa wa mikoa ya...
Aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kupitia CHADEMA, Cecil Mwambe amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi.
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Jimbo la Vunjo tokea vyama vyingi kuanza Tanzania. Hakuna Mbunge alishawahi kuongoza kwa vipindi viwili vinavyofuatana. (ingawa Mbatia na Mrema walishawahi kuongoza kwa vipindi viwili tofauti tofauti ). Je hawa jamaa wa Vunjo wanajitambua au ni kutokana na upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.