Jimbo la Vunjo, hakuna Mbunge alishaongoza vipindi viwili mfululizo

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Jimbo la Vunjo tokea vyama vyingi kuanza Tanzania. Hakuna Mbunge alishawahi kuongoza kwa vipindi viwili vinavyofuatana. (ingawa Mbatia na Mrema walishawahi kuongoza kwa vipindi viwili tofauti tofauti ). Je hawa jamaa wa Vunjo wanajitambua au ni kutokana na upinzani mkali wa wagombea. Kipindi hiki tulijua kabisa Mbatia atakuwa hana mpinzania, Mara paap, Kimei huyu hapa. Wachambuzi wa Siasa tupeni uchambuzi wenu. Baada ya Kimei kutia nia , je ndio kifo cha Mbatia?


1995-2000 James Mbatia ( NCCR- Mageuzi
2000-2005 Jesse Makundi (TLP)
2005-2010 Aloyce Kimaro (CCM)
2010-2015 Agustino Lyatonga Mrema (TLP)
2015-2020- James Mbatia (NCCR - Mageuzi
 
Back
Top Bottom