Naomba kueleweshwa tofauti ya mbunge wa viti maalum na mbunge wa kuchaguliwa

Dah! Kama kuna mwenye bandiko la Katiba ya CCM ya mwaka 1977 basi atakua amekusaidia sana kupata majibu sahihi.

Nafasi za wabunge wa viti maalum ni kwa wanawake tu. Idadi yao kwenye chama husika hutokana na uwingi wa kura alizopata mgombea wa Urais wa hicho chama! Na jumla ya hao Wabunge wanatakiwa kuwa 30% ya idadi ya Wabunge wote zaidi ya 300 na ushee hivi.

Mfano mwaka huu, huko Dodoma kutanoga kweli kweli! Gwaji Boy atakua anakenua tu meno! Maana kutakuwa na lundo la Wabunge wa Viti maalum kutoka CCM baada tu ya huu uchakachuaji wa kutisha wa kura walio ufanya kwenye uchaguzi wa mwaka huu na hivyo Mgombea wao wa Urais kupata kura nyingi na zisizo na uhalisia. Wabunge hao warembo wa 'Vitu Maalum' huwakilisha Mikoa, makundi maalum mfano vijana, walemavu, nk. Na siyo Majimbo kama wale wengine.

Tofauti ya maslahi ni kwenye ishu ya mfuko wa Jimbo tu ambao husimamiwa na Mbunge wa Jimbo kwa kushirikiana na wadau wengine. Ila kwenye ile miposho minono, wote wanapata sawa.

Usisahau pia Rais ana nafasi zake 10 za kuwateua Wabunge awapendao! Lakini pia kuna Wabunge kadhaa wanaotoka Zanzibar na ambao huingia kwenye Bunge letu la Tanganyika na kuzitafuna kodi zetu kadiri wapendavyo! Huku sisi Watanganyika tukiwa haturuhusiwi kupeleka pua zetu kwenye lile Baraza lao la Wawakilishi kule Zanzibar
 
Dah! Kama kuna mwenye bandiko la Katiba ya CCM ya mwaka 1977 basi atakua amekusaidia sana kuoata majibu sahihi.

Nafasi za wabunge wa viti maalum ni kwa wanawake tu. Idadi yao kwenye chama husika hutokana na uwingi wa kura alizopata mgombea wa Urais wa hicho chama.

Mfano mwaka huu, huko Dodoma kutanoga kweli kweli! Gwaji Boy atakua anakenua tu meno! Maana kutakuwa na lundo la Wabunge wa Viti maalum kutoka CCM baada tu ya huu uchakachuaji wa kutisha wa kura walio ufanya kwenye uchaguzi wa mwaka huu na hivyo Mgombea wao wa Urais kupata kura nyingi na zisizo na uhalisia. Wabunge hao warembo wa 'Vitu Maalum' huwakilisha Mikoa, makundi maalum mfano vijana, walemavu, nk. Na siyo Majimbo kama wale wengine.

Tofauti ya maslahi ni kwenye ishu ya mfuko wa Jimbo tu ambao husimamiwa na Mbunge wa Jimbo kwa kushirikiana na wadau wengine. Ila kwenye ile miposho minono, wote wanapata sawa.

Usisahau pia Rais ana nafasi zake 10 za kuwateua Wabunge awapendao! Lakini pia kuna Wabunge kadhaa wanaotoka Zanzibar na ambao huingia kwenye Bunge letu la Tanganyika na kuzitafuna kodi zetu kadiri wapendavyo! Huku sisi Watanganyika tukiwa haturuhusiwi kupeleka pua zetu kwenye lile Baraza lao la Wawakilishi kule Zanzibar
Na huwaga Ni vicheche yaani Gwajima atawatafuna watajuta
 
Dah! Kama kuna mwenye bandiko la Katiba ya CCM ya mwaka 1977 basi atakua amekusaidia sana kupata majibu sahihi.

Nafasi za wabunge wa viti maalum ni kwa wanawake tu. Idadi yao kwenye chama husika hutokana na uwingi wa kura alizopata mgombea wa Urais wa hicho chama! Na jumla ya hao Wabunge wanatakiwa kuwa 30% ya idadi ya Wabunge wote zaidi ya 300 na ushee hivi.

Mfano mwaka huu, huko Dodoma kutanoga kweli kweli! Gwaji Boy atakua anakenua tu meno! Maana kutakuwa na lundo la Wabunge wa Viti maalum kutoka CCM baada tu ya huu uchakachuaji wa kutisha wa kura walio ufanya kwenye uchaguzi wa mwaka huu na hivyo Mgombea wao wa Urais kupata kura nyingi na zisizo na uhalisia. Wabunge hao warembo wa 'Vitu Maalum' huwakilisha Mikoa, makundi maalum mfano vijana, walemavu, nk. Na siyo Majimbo kama wale wengine.

Tofauti ya maslahi ni kwenye ishu ya mfuko wa Jimbo tu ambao husimamiwa na Mbunge wa Jimbo kwa kushirikiana na wadau wengine. Ila kwenye ile miposho minono, wote wanapata sawa.

Usisahau pia Rais ana nafasi zake 10 za kuwateua Wabunge awapendao! Lakini pia kuna Wabunge kadhaa wanaotoka Zanzibar na ambao huingia kwenye Bunge letu la Tanganyika na kuzitafuna kodi zetu kadiri wapendavyo! Huku sisi Watanganyika tukiwa haturuhusiwi kupeleka pua zetu kwenye lile Baraza lao la Wawakilishi kule Zanzibar
Asante.....
 
Magufuli akishinda kwa asilimia 99,upinzani watapata viti maalumu kweli ?No Wonder CCM walichukua nafasi tatu kila section badala ya mbili. Walijua wanachokiandaa .
 
Upinzani wataambulia Wabunge wachache sana wa hivyo Viti maalum bila shaka kutokana na uwingi wa kura aliopewa mgombea wao na wasimamizi wa huo unaoitwa uchaguzi mkuu, nchini kote.
 
Nasikia Joseph Mbilinyi aka Sugu baada ya kushindwa uchaguzi ameona ajiajiri kwenye ufugaji wa sungura wa maziwa.
 
Idadi ya kura za wabunge ndo huamua mgawanyo kwa kila chama. Baadae ntarudi kuelezea vzr
 
Sasa ngoja nijibu vzr. Wabunge wa viti maalum ambao ni wanawake ni 30% ya idadi ya wabunge wote wa majimbo(tuna majimbo 264 hapa sijakosea)
Je kila chama hupata wangapi? Iko hivi mgawanyo wa idadi kwa kila chama hutegemea na % ya kura za wabunge wote bila kujali chama hicho kina mbunge au hakina. Mfano tuseme mwaka huu idadi ya kura zote za wabunge ni m20 so kila chama kitaangaliwa kimechangia % ngapi kwenye hizo kura m20 na ili chama kiqualify kupata wabunge hao ni lazima kifikishe atleast 5% ya kura hizo.
Usishangae kuona kuwa licha ya ACT kutopata mbunge lakini kitakuwa na wabunge wengi kuliko CUF chenye mbunge mmoja kwasababu chenyewe kinamzidi cuf kwenye jumla ya kura za ubunge.
 
Act wamepata wabunge 4 na cuf wa 3 na chadema 1
 
Back
Top Bottom