Mbunge Mteule Wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA) awasili Bungeni mapema leo na kujisajili kwa mujibu wa taratibu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,156
4,510
Mheshimiwa Aida Khenani akijisali leo Bungeni kama sehemu ya mchakato wa kisheria kabla ya kuanza kuwatumikia Wapiga kura wake.

Hongera Sana

FB_IMG_16048251258049779.jpg
 
Yuko mbele mbele sana, sijui ushamba au kitu gani, ndio maana akahudhuria mpaka sherehe za kuapishwa jiwe.

Mtu wa namna hii huwezi kumpa ushauri wa tofauti na kwenda Bungeni akaufuata, na anaweza kuwa ndio anatumiwa na CCM kuwalainisha wabunge wengine wa CHADEMA wakubali teuzi za viti maalum.
 
Yuko mbele mbele sana, sijui ushamba au kitu gani, ndio maana akahudhuria mpaka sherehe za kuapishwa jiwe.

Mtu wa namna hii huwezi kumpa ushauri wa tofauti na kwenda bungeni akaufuata, na anaweza kuwa ndio anatumiwa na CCM kuwalainisha wabunge wengine wa Chadema wakubali teuzi za viti maalum.
Kwani amechaguliwa na CHADEMA au wananchi. Wananchi wamechagua mtu Kama mtu na sio chama, hata angekuwa CCM angechaguliwa, hata TLP...sijui unaelewa
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom