Spika Tulia Ackson ampa onyo kali Mbunge Tabasamu kwa kumuita Condester Sichalwe 'Mbunge wa ajabu'

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,426
7,737
Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu

Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa

Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
 
Kaambiwa ukweli tupu
 
Huyo Condester kasema jambo gani?
 
Sasa hawana cha maana cha jadili gongo bangi etc haya basi sawa
Nadhani suala la gongo linahitaji mjadala wa kitaifa, kama konyagi ipo kwa nini gongo isiwepo? Wanywaji wa pombe za asili pia wanahitaji kinywaji kikali kama ambavyo wanywaji wa bia za chupa wanakinywaji kikali kama konyagi!

Utengenezaji wa gongo hautakoma leo wala kesho, utaendelea kuwepo milele hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha mazingira ya utengenezaji wake unaboreshwa na watumiaji wanapata kilicho bora!
 
Serikali kama inataka kuhalalisha gongo basi iweke kodi kubwa ili waweze kuimudu wachache, gongo ni cheap itamaliza wengi tutakuana na jamii za walevi sana
 
Tabasamu hakuna mtu mle kujifanya yuko serious wakati pombe aliyotetea yule dada inaipa mapato nchi kuliko kitu chochote kile
 
Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu

Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa

Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
Nafurahia sana yakigombana yenyewe kwa yenyewe!!laaana ya uchafuzi wa 2020
 
Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai yawezekana hoja kwa sababu Condester mwanamke ikawa na nguvu

Spika amesema kanuni za Bunge zinataka wabunge watunziane heshima na kumekuwepo taarifa

Kanuni zinamtaka aidha kumpeleka kamati ya maadili au kutoa onyo, Spika ameamua kutoa onyo na kumuomba radhi mbunge Sichalwe kwa niaba ya bunge.
🤣🤣bunge la awamu ya tano wote ni wabunge wa ajabu sema kila mmoja anaona ana nafuu kuliko mwenzake. Kimsingi wote ni wa ajabu.
 
Niliwahi kukaa na mbunge wa Iringa anayoongea mmh! na nikamuona akiandika.Mmh elimu muhimu kwa hawa waheshimiwa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom