Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
 
  • Thanks
Reactions: MCN
dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
 
Asingefanya haraka. Hivi Mwenyekiti wake akitangaza kuwa mchezo mchafu ulifanyika 2020 atajificha wapi?

Amandla...
 
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura"

Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na Wananchi, akisisitiza CCM inashinda kwasababu Wananchi wanakubali yanayotekelezwa

Ameongeza kuwa kwenye mitandao watu wanasema Rais Samia anaongozwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akihoji, "Hivi ni kweli? Kwani Kikwete hakufanya kazi nzuri kwenye Nchi hii? Tumuache apumzike vizuri kule Msoga"
Ugoro +petroli
 
Huyo kaamua kupigia mstari yanayosemwa kwa kurudia ili labda ujumbe ufike...,

Kwahio anajua kwamba kuna ukakasi / mashaka kuhusu uchaguzi uliopita na uongozi wa sasa ?
Haiwezi kuwa jiwe la gizani,huenda ana ujumbe mahsusi asikilizwe hoja yake na iangaliwe Kwa undani.
 
dude letu hilo. Hakuna wizi wa kura. Wameanza, hahahahaha na Mama kama ana akili huu ndiyo muda wa kumtengua Riziwan, Makamba, Nape kama alivyofanya kwa akina Lukuvi na Kalemani
Kwa hiyo asipowatengua hao uliowataja, anakuwa hana akili?
 
Massikini Mudawote yaani ww ni kuota tuu wwnye fisiem yao watenguliwe
Fanya kazi mama unless iwe kwenye haya maombi yako unalipwa. Otherwise endelea kuisoma number bibie
Mama akirudi toka USA utaona kishindo chake, hicho tunaita kishindo cha Mama.
 
Back
Top Bottom