mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Siha: Madiwani waugomea mradi wa Maji, Mbunge aagiza kukamatwa kwa Mkandarasi

    Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango. Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ghana: Mbunge apondwa na makopo, akimbizwa na wananchi kwa ahadi za uwongo

    Vijana wenye hasira Nchini Ghana katika eneo la Suame, ikidaiwa pia wamempiga makofu, kumtukana pamoja na kumwagia maji Mbunge wao, Osei Kyei Mensah-Bonsu, wakidai amekuwa na ahadi za uwongo kwa kutotimiza ahadi zake za kurekebisha miundombinu. Osei Kyei Mensah-Bonsu ni Mbunge wa Chama cha New...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Januari tuwekee ushahidi wa video ya Kamati ya Bunge au Mbunge aliyekuita 'Mshenzi'

    Nimeona Video inayosambaa kwa kasi sana mitandaoni ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwaita wabunge na watanzania wapuuzi na kama hawamtaki wamuue. Kwenye hotuba yake ametumia neno MSHENZI huyo akimaanisha wabunge na Kamati ya Bunge ya Nishati iliyohoji bungeni kuhusu kuchelewa kwa Mradi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Chuo kilichompa PhD Mbunge Musukuma ni cha kitapeli

    Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli (rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online. Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
  6. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge na Mkurugenzi wa Fedha wa zamani, Khadija Makontena afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukimtoa Askofu Gwajima ni Mbunge gani mwingine wa CCM anayeweza kujaza Watu kwenye Mikutano yake?

    Nimehudhuria mara tatu Mikutano ya mbunge wetu wa Kawe Askofu Gwajima kiukweli mahudhurio huwa ni makubwa sana. Je, ni wabunge wote wa CCM huko majimboni hupata mahudhurio mazuri kama ya Gwajima? Kwa mfano Iringa mjini sijawahi kusikia mbunge kaitisha mkutano.
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Mhagama aiomba Serikali kuiongeza mtaji Benki ya Kilimo ili isaidie kilimo Nchini

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza kilimo Nchini Tanzania. Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma amemuomba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  10. vnn

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbunge Mnyeti mnaitafsirije?

    Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Msambatavangu ataka Sheria ya Bureau De Change irekebishwe

    Akichangia hoja katika uchambuzi wa Bajeti Kuu leo Bungeni, Mbunge wa Iringa Mjini amesisitiza kuwa Sheria zinazokandamiza Sekta binafsi ikiwemo Sheria iliyoundwa kudhibiti maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ziondolewe ili kuimarisha sekta hiyo Amesema kuwa sheria hiyo inazuia...
  12. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina achangia hoja Bungeni kuhusu hali ya uchumi nchini na makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali

    1. 0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, awali ya yote nimshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha ya wazazi wangu na pia nichukue nafasi hii kuwashukuru sana waheshimiwa wabunge, Chama cha Mapinduzi, Viongozi wa Serikali, ndugu jamaa na marafiki, Baba Askofu Peter Phares Kisena, Mtume Boniface Mwamposa na...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro ang’ang’ania Loliondo wanaonewa

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa wakazi wa Loliondo wanaonewa, kuumizwa na kudhulumiwa haki zao wakati ardhi ni haki yao. Ole Shangai amerudia tena msimamo wake kuwa kuna wananchi wake ambao waliumizwa na lakini wakanyimwa PF3 na hivyo kuwafanya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

    2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi. Hawatambui hadhi yao, Hawatambui majukumu yao, Hawajui chochote. Miongoni mwa watu hao ni Babu Tale. Akisimama bungeni ili atoe mchango wake mimi huwa naanza kuona...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge atuhumu Wabunge wenzake sakata la Loliondo na Ngorongoro adai wana maslahi yao binafsi

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mayenga ametoa tuhuma kwa baadhi ya wabunge ambao kwa makusudi wanaipotosha Serikali na kuichonganisha na wananchi kuhusu sakata la Loliondo. Mayenga ametoa shutuma hizo leo Juni 22, 2022 wakati akichangia bajeti kuu ya Serikali, bungeni Jijini Dodoma. “Machafuko...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali iwekeze katika elimu badala ya mabweni ili kukwepa mimba za utotoni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Deo Mwanyika: Tunafanya mchezo na Mradi wa Liganga-Mchuchuma

    Mbunge Deodatus Mwanyika (Njombe) amesema inaonekana hakuna Mkakati wowote katika Mradi huo wa Makaa Ya Mawe unaotajwa kuwa wa kimkakati, kwani hakuna taarifa zozote zinazotolewa kuhusu mazungumzo yalipofikia Ameeleza, "Sisi Watanzania ni watu wa ajabu. Tuna Makaa ya Mawe ambayo bei yake ni...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Ubunge wa Mbunge wa Ngorongoro baada ya wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?

    Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni? Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro. Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM ahoji walimu wakuu kusimamia ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu

    Dodoma. Mbunge wa viti maalum (CCM), Munde Tambwe ameitaka Serikali kuachana na utaratibu wa walimu wakuu kupewa kazi ya kusimamia ujenzi katika shule zao kwa kuwa si wataalamu wa mambo ya ujenzi na uhasibu. Munde ameyasema hayo leo Alhamisi Juni 16, 2022 wakati akichangia mjadala wa bajeti...
  20. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
Back
Top Bottom