mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asema Mbunge Sanga ni ‘Chawa’

    Akizungumza jana kwa simu na Mwananchi, Mbowe alisema Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia. "Sipendi sana kucomment in person kuhusu Sanga, lakini Chadema haipo kwa ajili ya kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake (CCM). Tutapambama na Chadema kitakuwa na wagombea wa urais wazuri...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Hata wewe Spika ukileta siasa zako tunaweza kukuazimia

    Mbunge wa Gairo amesema Viongozi wa Serikal Wana mtindo wa kuajiri walimu na kuwapangia vijijini kisha wanatuma vimemo wahamishiwe Mjini Shabiby amesema Utaratibu Huu siyo mzuri na ikibidi watatoa Azimio Waziri na Watendaji wake waindolewe na kama Spika ataleta Siasa zake naye Atakaa pembeni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kuhusu misafara ya viongozi

    Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala ameshauri mamlaka zinazosimamia misafara ya viongozi, kuwasiliana ili kupunguza muda wa watu kusimama njiani wakati wakiwasubiri wapite. Mbunge huyo ameyasema leo Aprili 12,2023 wakati akichangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato...
  5. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  6. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Gwajima, nani anahusika na uuzaji wa eneo la Mecco Kunduchi?

    Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako. Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni" linataka kuvamiwa. Watoto wa mjini wanalitolea macho wakidai kupisha mwendo kasi. Wananchi hawa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi achangia ujenzi wa msikiti wa ghorofa Kibondo, Waumini wamtaja Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50. Pia, Mbunge wa Njombe...
  8. B

    JamiiForums Tanzania BAWACHA Jimbo la Kinondoni Yamjibu Mbunge Festo Sanga wa CCM

    Kauli ya Mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga yapingwa vikali. BAWACHA yasisitiza kuwa CHADEMA inaongozwa na katiba hivyo mbunge wa CCM Mh. Festo Sanga atulie na kuacha propaganda katka kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma bali ajikite kujadili mambo ya maana kwa wananchi. Ndugu Festo Sanga...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kilango hakuna atakayepona ripoti ya CAG

    Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 6, 2023 kwenye Mkutano wa 11, Kikao cha 3. RIPOTI YA CAG YALETWA BUNGENI Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imepelekwa Bungeni leo na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba. WANAOJITOLEA WAPEWE KIPAUMBELE KWENYE AJIRA Spika wa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawanunui kamba za katani wanatumia manati, likijaa linatanuka

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma' Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza Rais, ambapo Wabunge walipata nafasi ya kutoa pongezi zao. Kwa upande wa Mbunge wa Geita Vijijini...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ole Sendeka awasha Moto bungeni kuhusu ripoti ya CAG

    Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto. Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni akaanza kwa kulaumu waliotajwa Ubadharifu Ripoti ya CAG kuenedelea ofisini hadi Sasa. Kadai...
  14. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US

    Mbunge mmoja wa Ujerumani ametoa mito wa kufukuzwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ambavyo vimekuwepo nchini humo kwa karibu miongo minane. Sevim Dagdelen wa chama cha mrengo wa Kushoto katika Bunge la Ujerumani (Bundestag) amesema kuna haja kwa serikali ya Berlin kuangalia upya...
  15. mngony

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Timotheo Mnzava Ajikita Kutatua Kero za Wananchi Korogwe Vijijini

    MBUNGE MHE. TIMOTHEO MNZAVA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA KOROGWE VIJIJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mnzava ameendelea na ziara yake ya kimkakati katika jimbo lake huku akijikita katika kuzungumza na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Dkt. Alfred Kimea Aahidi Kuwawezesha Vijana Wajasiliamali Korogwe Mjini

    MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na kufanya mazungumzo na vijana wajasiliamali wanaozalisha Kokoto, katika Kata ya Mtonga Mtaa wa Msambiazi...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Latifa Juwakali: Rais Samia ni Mfano wa Kuigwa Amefanya Mkabwa Ndani ya Miaka Miwili.

    MHE. LATIFA JUWAKALI ASEMA RAIS SAMIA NI MFANO WA KUIGWA, AMEFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI. Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Mkoa wa Unguja Mhe. Latifa Khamis Juwakali amesema kwa Miaka Miwili ya Madarakani Rais Mhe.. Samia Suluhu Hassan amekuwa mfano wa kuigwa maana amefanya...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Back
Top Bottom