Wale wahenga mnakumbuka namna Zamoyoni Mogela alivyokuwa anapaniwa na walinzi wa Yanga pindi timu ya Yanga ikutanapo na Simba miaka ile ya 80.
Nakumbuka picha moja ikimuonyesha Mogella akiwa amezungukwa na walinzi " wote" wa Yanga yaani Yusuph Bana, Ahmed Amasha, Rashid Chama, Isihaka Hassan na...