Niwaombe sana wanasiasa pambaneni na mambo ya siasa msijaribu kuingiza vijana kwenye mambo ya uhalifu, uhalifu hauwezi kukufanya ukawa kiongozi sanasana mnawaharibia vijana maisha yao, maarifa yao, mwisho wa siku wanapata adhabu wanafungwa wanaacha familia zao" IGP Simon Sirro.
"Tunachunguza...
Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM
=======
Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.
Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani...
Kimantiki maelezo ya mh, Mbowe wakati akitoa msimamo wa chama cha CHADEMA kuhusiana na kusimamishwa kwa mgombea wa kiti cha urais wa chama hicho mh, Tundu Lisu na kamati ya maadiri ya tume ya taifa ya uchaguzi, Mbowe amevirushia dongo vyama ambavyo viliunga mkono kusimamishwa kwa mgombea wa...
Leo kwa mara nyingine CHADEMA imeidhihirishia umma kuwa ni chama cha kidikteta na isiyoheshimu misingi ya demkrasia, uhuru na haki ya kisiasa ya kila chama na kila mtanzania.
Dunia yote imeshangaa tamko la Mbowe leo akisisitiza huku akitokwa na povu kwamba CHADEMA na CCM tu ndivyo vyama...
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za Urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa nauliza Mbowe kahama mjini na kurudi kijijini Machame?
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.
Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa, ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .
Ndani ya CHADEMA ni kama hairuhusiwi kusikika kuliko Mbowe. Sasa naangalia meseji za sifa kwa Lissu, nikilinganisha na zile zilizokwishamwagwa kwa Mbowe wakati huu, ni wazi Jina la Lissu linatamkwa sana.
Hapa JF mashabiki wa CHADEMA wanahaha kila kona. Kusema hivi simchongei Lissu kufukuzwa...
Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa...
Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka wa Taifa.
Nisimalize uhondo, jionee mwenyewe
Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango.
Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Kuna shule chache za sekondary zenye uwezo wa kuzalisha viongozi wakubwa
Ihungo Sekondary iliyoko mkoani Kagera ni moja ya shue ambazo zimejipambanua kuweza kuzalisha viongozi wakubwa wa kisiasa
Hongera Ihungo Secondary kuzalisha wanasiasa wakubwa Freeman Mbowe wa CHADEMA Taifa na Bashiru...
Ni pale alipokuwa kwenye uzinduzi wa ujenzi wa barabara mkoani Kilimanjaro akiwa na Mhe. Magufuli,alisema, suala la maendeleo lisionekene au kuchukuliwa kuwa ni la siasa.
Ni kweli kabisa kuna baadhi ya wanasiasa hasa wasioelimika, wengi wao huzuia miradi mingi ya maendeleo mfano ujenzi wa...
Katika Thread yake ya tarehe 24 February 2016, Ndugu Juliana Shonza aliandika Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed! akitaja sababu kadhaa za kwanini anadhani mbowe HAFAI kuwa Kiongozi si kwa chama chake tu bali popote pale Tanzania. Nilitafakari juu ya fikra zake hizo na kwa kweli baada ya...
Wapendwa wakuu humu jamvini:
Huu ni wakati wa Kampeni na Uchaguzi mkuu. Nguzo kubwa ya ushindi katika uchaguzi ni communication (mawasiliano). Kwa maana ya kwamba lazima wapiga kura wafikiwe kwa ujumbe na ilana ya chama kwa ufasaha na kwa haraka, na ujumbe huu urudiwe mara kwa mara kwenye media...
Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amesema chama chao kinafanya kampeni za kimkakati na kitovu cha kampeni zao ni jiji la DSM.
Mbowe amesema mgombea urais wa CHADEMA kesho atakuwa jijini Arusha na keshokutwa atakuwa jijini Mwanza kwa shughuli za kampeni.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo...
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.
=====
LIVE FEED:
MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.