Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob.
Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao wametimiza wajibu wao wa kuripoti polisi ila kujua kinachoendelea waulizeni polisi.
Mbowe amesema...
Amani iwe kwenu wajumbe!
Tunaposema upinzani katika nchi hii bado sana ieleweke kwamba bado mbichi kweli kweli hata uwezo wa kuendesha nchi bado.
Mbowe kama kiongozi Mkuu wa kambi Rasmi ya upinzani na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha upinzani ulitakiwa kukataa hila za wazi wazi za Bwana mdogo...
BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wameachiwa kwa dhamana - Mwanasheria wao ameithibitishia JamiiForums
Katika viongozi ambao wamepitia katika changamoto nyingi miaka mitano iliyopita ni Freeman Mbowe anashika nafasi ya pili baada ya Tundu Lissu.
Tukianza na kwamba ameharibiwa biashara zake. Wamemvunjia Club Bilcanas, Mashamba yake Hai na wamelifungia gazeti lake.
Tukumbuke mwaka 2018 yeye na...
Salaam,
Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara.
Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na...
UPDATE
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
Ndugu zangu,
Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia.
Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha!
Kama hawata kaa chini...
Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe.
Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
WanaJF,
Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa kuambulia kura 27,000 tu wakati mshindani wake Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM amefanikiwa...
Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter:
Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Pia soma...
Mgombea Ubunge Jimbo la Hai, ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ametahadharisha kuwa maisha yake yako hatarini
Amesema majira ya saa nane na nusu usiku wahuni walikuja na silaha nzito nzito waliizuia Hotel yao na kuwateka walinzi wake wawili
Mbowe anasema anaamini watu...
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize
Kwa faida ya...
Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu
Chanzo: Mwananchi online
====
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali”. Freeman...
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.
Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa...
Lala salama ya uchaguzi zikiwa zimebaki siku 8 ( one digit) inaanza leo ambapo Tundu Lissu atakuwa Hai mkoani Kilimanjaro akiwa na Sheikh Ponda, Askofu Mwamakula na mgombea urais wa Zanzibar maalim Seif.
Kipenzi cha Watanzania Dkt. Magufuli akiwa na komredi Polepole wao wanaanzia Bagamoyo...
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa kufanya mapokezi ya kufuru kwa Mgombea huyo ambaye tathmini zote zinaonyesha atapata ushindi wa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.