mbowe

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Katika suala la Mbowe, TRA mmeanikwa 'ukwarukwaru' wenu

    Siyo siri TRA imekuwa ikitumika kuwakomoa wafanyabiashara wengi. Sasa mmeanikwa. Ukiwa mfanya biashara halafu mpinzani kama Mbowe, basi vijimemo "toka juu" ndiyo vinashughulikiwa kwa "weledi wa ukusanyaji kodi". Katika suala hili la Mbowe, TRA wali cease hadi account binafsi. Ni kwa sheria...
  2. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Kila mtu alitishwa na mwendazake, Mbowe usijifanye hujui hili

    Mwendazake alinyenyekea-nyenyekea kipindi cha uteuzi pale na kampeni baada ya kukalia kiti hamkuheshimu mtu, hadi wanaCCM nao wakapigwa na butwaa wakajiuliza eh huyu ndio yule yule, Viongozi wakuu waastaafu wa nchi hawakuheshimiwa, Viongozi wenzake wa serikali, bunge na mahakama nao walibaki...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari. My Take: Natengua msamaha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

    Nakubaliana kabisa na Spika Ndugai kwamba hoja nyingine za uchaguzi ni ndogo ndogo lakini zinakuxwa tu. Mfano Chadema wamepata hati safi lakini kuna zaidi ya tsh milioni 300 CAG amedai zimetumika bila kufuata utaratibu. Maana yake ni kwamba fedha hizo hazijaibwa ila taratibu tu za kuhalalisha...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo Spika wa Bunge...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa malalamiko yake binafsi, ukweli mchungu aliouongea Mbowe jana ni "tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua"

    Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua. Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni. Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

    Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
  10. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

    Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili. Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking. Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli. Nadhani siku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

    Next time nimshauri Zitto na wanasiasa wengine kufanya timing unapotaka kufanya kazi na jamii. Leo tunakosa uchmbuzi wa comments za ACT Wazalendo kuhusu CAG report kwa Sasa Mbowe kateka media zote nchini. Natamani kosa kama hili lisijirudie, jipeni muda wakuwasiliana na jamii.
  12. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mbowe akubaliana na Nyani Ngabu?

    Hey, ni mimi na si mwingine ambaye nishasema mara nyingi sana humu kuwa, ingekuwa ni juu yangu mimi basi nisingeshiriki chaguzi zozote zile zifanyikazo Tanzania chini ya usimamizi na uendeshwaji wa tume ya taifa ya uchaguzi yenye muundo iliyonayo sasa hivi ambapo kimsingi huwa inaundwa na...
  15. babu M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutashiriki (CHADEMA) tena Uchaguzi wowote! Bado mifumo na Wasimamizi ni walewale

    Nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati akihutubia Wananchi amerudia msimamo wa CHADEMA kutoshiriki chaguzi. Amesema “Hatutashiriki Uchaguzi wowote, bado mifumo ya Uchaguzi ni ileile, Wasimamizi ni walewale, hapana, hatuna haraka ya kwenda kwenye Uchaguzi wowote mdogo wa Udiwani...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeruhusu Mbowe na Zito kabwe kuongea na taifa wakati mkuu wa nchi akiwa nje ya nchi

    Ama kweli mambo yamebadilika sana mpaka watu wamesahau majukumu yao. Leo viongozi wa vyama vya upinzani wataongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Jambo linalonitatiza ni pamoja na kwamba hii itakuwa mara ya kwanza kwa wapinzani hawa kuzungumzia mambo ya kitaifa tangu Rais Samia aingie...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Taifa maandalizi yakamilika , Kurushwa Live kuanzia saa 9 mchana

    =======
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe achambue ripoti ya CAG siku ambayo Freeman Mbowe amepanga kulihutubia Taifa?

    Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya kuwavuruga watu waliojipanga kumsikiliza Mbowe? Kwanini Zitto asingepanga siku nyingine? Upinzani...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi ambayo chairman Mbowe anatakiwa kuyazungumzia hapo kesho; kimsingi ana ulazima kuyagusa

    Kwanza kabisa ni kuomba radhi kwa watanzania wote kwa kusema uongo kuwa alishambuliwa na watu wasiojulukana na kisha kuvunja kifundo cha mguu. Hii haitasaulika kwa watanzania sababu ilichafua hali ya hewa kisiasa. Pili kuomba radhi kwa jinsi alivyocheza makaratee na kusababisha bil 8.8...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Je, Freeman Mbowe atajizolea pointi tatu muhimu kwenye press ya kesho?

    Zipo hoja nyingi zinazohitaji msukumo wa kisiasa, msukumo huo ni vigumu kuupata ndani ya chama Tawala ila utaupata upinzani. Upinzani vyama vyote vimepoteza dira isipokuwa baadhi ya viongozi wa Chadema wanaweza kuendelea kuaminiwa kwa uvumilivu wao Hadi kuvuka salama mtihani wa uchaguzi mkuu...
Back
Top Bottom