mbowe

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Chadema, mmeshindwa na mtashindwa tena!

    Ni lini mh Mbowe na Chadema wameitisha mandamano ya kwenda kuwang'oa wabunge wake walioko bungeni,ambao anasema hawapo kisheria kwa mjibu wa katiba ya Chama anachokiongoza? Ni kivipi suala la katiba analishikia bango na kwa sauti kubwa ili hali sauti na nguvu kama hii anayotaka kuitumia...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

    "Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
  4. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

    Friends and Enemies, Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti? Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya, CHADEMA sio pekee wenye wananchi

    Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika Kwa watu makini wanafahamu kabisa jambo bora hutokana na fikra tulivu zisizo na purukushani wala marumbano...
  6. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

    Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae. Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

    "Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA. Yawezekana, wewe na washauri wako hamjaelewa maumivu tuliyopitia kwa miaka 5 ya mtangulizi wako!! Na ndiyo sababu tulikuomba sana utusikilize mapema!! Kauli hii leo inatulaza na machozi!! Very very sad!!"-Freeman Mbowe
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

    Pichani ni Mhe. Tundu Lissu akisalimiana na Mhe. Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA

    BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA. Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa Mbowe. Kuna wanaoona ni sahihi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kwa maisha ya CHADEMA yaliyobakia na...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamwona Mbowe wa kipekee (exceptional)?

    Nawasalimu kwa jina la Lowassa Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila mtu anajua ni kada mtiifu wa CCM. Whats so special about him?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Uwekezaji wa Mbowe yaonekana sasa

    Matunda ya maono mazuri ya gwiji wa siasa za upinzani nchini (Mwamba) Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kuwekeza kwa Rasirimali watu haswa wasomi vijana leo imekuwa na faida kubwa kwa nchi kutoa viongozi wengi vijana. Ikumbukwe ni yeye aliyeanzisha mpango wa kutembelea...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Kagera kuhudhuria Mazishi ya Profesa Baregu

    Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu . Taarifa zinaonyesha kwamba...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

    Mbowe ameshiriki Ibada hiyo katika Kanisa la KKKT usharika wa Kunduchi Beach. Hayati Mzee Baregu alikuwa Mjumbe Mstaafu wa Kamati kuu ya Chadema.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

    Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi. Video hii ya Mapokezi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

    Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo. Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini...
Back
Top Bottom