Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
454
1,261
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa

Lisu kampiga zito spanna

lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki
 
Kabwe ni snitch yuko opposition kifursa tu wnamchana kisa maazimio.
 
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa

lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki

Tundu is always Honesty hence confident
 
Zitto na wewe ni takataka.
Mnaacha kwenda kuzungumzia kichama chenu kwenye huo mkutano wenu na samia mpo busy kujidai mnaongelea CHADEMA.
Pumbavu nyinyi.
Tuliwatuma mzungumzie CHADEMA?

Wewe ndo takataka. Unawezaje kumwita mwenzako takataka kisa hoja ya kawaida kabisa. Kwani wewe Ni chama cha upinzani unataka nini. Kuwa peke yako and then. Ugomvi ndo sifa yenu. Nakuhakikishia. You will never rule TZ as a chama Kama mawazo yenu ndo mnafikiria Ni absolute.

Waskilize wote na uone Nani takataka. Anayekimbilia kutukana. Ndo takataka. Wewe namba one. ZItto Ni Opportunist. Lakini sio wa kutukanwa wala sio kwa hoja yake.
 
Wewe ni kijana takataka.
wewe ni nani wa kunihakikishia kuwa hatutatawala nchi hii.Ukiwa CCM unajiona ushakuwa Mungu?
Mavi kabisa.
 
Ccm ni matahira
images.jpg
 
Wewe ndo takataka. Unawezaje kumwita mwenzako takataka kisa hoja ya kawaida kabisa. Kwani wewe Ni chama cha upinzani unataka nini. Kuwa peke yako and then. Ugomvi ndo sifa yenu. Nakuhakikishia. You will never rule TZ as a chama Kama mawazo yenu ndo mnafikiria Ni absolute.

Waskilize wote na uone Nani takataka. Anayekimbilia kutukana. Ndo takataka. Wewe namba one. ZItto Ni Opportunist. Lakini sio wa kutukanwa wala sio kwa hoja yake.
Umeandika kichawi sana. Andiko lako kuna unafiki mkubwa sana. Tundu Lissu sio mnafiki kasema alipohisi ZItto hakutenda fair na Zito alikubali kua henda alimkwaza Lissu kwa namna alivyowakilisha hoja zake, naa badae wote wakamalizana. Sasa wewe unachoandika hapa ni ufitinishi tu.
 
Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu.
Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu.
ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa

lisu kulikuwa kuna haja ya kutukana wenzako, kwani maamuzi ya ACT lazima yafananane na Chadema,.
Chadema acheni siasa za chuki
Ni kierere chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitu cha kushangaza Zitto huyu kugeuka mwema na uchungu mkubwa mno kuliko hata familia ya Mbowe, wasaidizi wa Mbowe na chama cha CDM kwa ujumla - hii inaacha maswali kibao kuliko majibu.

Zitto unaweza ukawa umefanya hivi kwa nyeupe kabisa ila ndugu matendo yako ya nyuma yanakuhukumu, huaminiki kisiasa.
 
Back
Top Bottom