Tanga kuna nini mbona wapo nyuma sana?

Tanga kuna nini mbona wapo nyuma sana?

aliekatakamba humutuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2024
Posts
1,346
Reaction score
2,262
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko.

Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni.

Ina mana ukitaka kwenda Tanga inabidi uende hadi stendi ndio upate tiketi? Sasa huo si uzamani sana wakuu

Nataka nikate tiketi kwa kutumia simu yangu ili kesho nisafiri cha kushangaza sioni basi hata moja la kwenda huko yapo mabasi ya mikoa mingine tu.

Hii imekaaje wakuu?
 
Tanga mbona magari ni mengi mno .kuzidi hata idadi ya wasafiri. Kama ni ishu ya online tickets hapo tatizo ni kampuni na sio tanga mkuu
 
Acha uongo wako wewe, Tanga Abood, Ratco na Tashrifu zote zipo na tiketi mtandao, Abood wana app kabisa, Sasa wewe ulikuwa unatafuta tiketi gani hizo?
 

Attachments

  • Screenshot_20251216-120604.jpg
    Screenshot_20251216-120604.jpg
    163.8 KB · Views: 27
Nimepata safari ya dharula kwenda Tanga nataka nitumie usafiri wa basi kutoka hapa Dar kwenda huko.

Kinachonishangaza ni kukosa huduma ya tiketi ya mtandaoni.

Ina mana ukitaka kwenda Tanga inabidi uende hadi stendi ndio upate tiketi? Sasa huo si uzamani sana wakuu

Nataka nikate tiketi kwa kutumia simu yangu ili kesho nisafiri cha kushangaza sioni basi hata moja la kwenda huko yapo mabasi ya mikoa mingine tu.

Hii imekaaje wakuu?
wee unakichaaa
 
Back
Top Bottom