mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hapo mlima Kitonga mbona kuna watu hawaeleweki aisee

    Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia pita hakuna shida Kuna nini kinaendelea aisee hii nchi mbona ishakua shida. Mnaopita kitonga...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Raisi mpaka sasa yupo chini ya jeshi ambaye kashinda asilimia 98 mbona anaogopa kuwa anapendwa.

    Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ?. Kauli za kusema kusamehee,katiba ndani ya mfupa na kuomba upamoja kama alikuwa asilimia 98 mbona...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbona kama wanzanzibari wanakimbia kwa mtindo ambao unanipa mashaka Tanganyika?

    Kuna jambo sijaelewa hapa kinachoendelea tanganyika.Naona wanzabari wakianza kurudisha kwao na wengine kuuza mali kwa bei kubwa kwa watanganyika. Kabla ya uchaguzi alivyoshika madaraka kama kuna ajenda ilikuwa kisiri maana uwekezaji wa wanzanzibari umekuwa wa kuepeleka kwao sio utanganyikani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Mnaotaka haki, nchi hii mbona haki zipo

    "Wanasema baadhi yao kwamba itakuaje mpiganie amani wakati nhi hakuna haki, wanasema hivyo lakini sisi tunasema nchi hii ipo haki kwa sababu taasisi zinazosimamia haki za watu zipo zote mahakama zipo, vyombo vya dola polisi wapo" -Amesema Sheikh ------------- Hii battle ya Masheikh ya masheikh...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
  9. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maajabu ya Dunia! Mbona sizioni pongezi za machawa, makampuni, kulikoni?

    Tumsifu Yesu Kristu KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno. Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tunaiepeleka wapi? Mbona kama Tumepotea na Tunaendelea kupotea Hatma Tanzania ni hipi?

    Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi? Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Je CCM tumechoka kukaa madarakani Mbona tunafanya Mistake za wazi za Kututoa Madarakani?

    Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Damu iliisha Hospitali za Dar? Mbona hawakusema?

    Inadaiwa watu wengi walio kufa Hospitali ni kwasababu ya damu kuwaishia. Maandamano ya Uchaguzi mkuu wa 2025 ambao Samia aliamua kuubaka, uliua watu wengi kwa kuishiwa damu Ajabu hawajasema tukajitoolee damu. Wauguzi walitumiwa meseji za kuwashukuru kwa kujitolea kuwauguza na kuwatia faraja...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliozawadiwa Ubunge 2025 mbona hawa furaha?

    Wagombea ubunge walioshinda 2025, kwenye uchaguzi mkuu Tanzania nilitegemea Washangilie. Wapo kimya. Walioshinda na walioshindwa nyuso zinafanana. Au nafsi zinawasuta? Naoomba mle chakula kwa mikono. Sababu mikono yenu imejaa damu za binadamu. Si ndicho mlitaka? Uzzuri hakuna Mbunge wa...
  15. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Mbona kama msafara wa Rais umebadilisha magari, kwasasa Rais anatembelea Range Rover?

    Jana nimeona Rais Samia akiondoka na magari aina ya Range Rover mara baada ya kiapo. Wajuzi wa mambo mje mtujuze yale magari ni Range Rover aina gani na sifa zake ni zipi?
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Vipi magabacholi wako wapi mbona hatuwaoni mitaani au weshasepa kama kawaida yao?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi kwao. kuanzia Zanzibar hadi India. Au vipi>
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mbona Polisi wanakuwa kama Fisi? Kwani walijua ni Lissu yupi?

    Wamemkamata dada wa watu. Kwani walijua ni Lissu gani anayependwa? Hivi maLissu wapo wangapi huko Manyoni na Itigi? Haya basi tuseme hapa anapendwa Tundu! Mnakataza hata kupenda watu? Je kama ni mjomba ake? Mbona mnakuwa kama mafisi?
  18. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Haya makato NMB mbona sijayaelewa

    Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi. So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na...
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Lema kama unasema serikali ndio watekaji na wauaji mbona wamwomba Mama akulinde. Mama si ndiye mtekaji wenu mlisema. Nyenyenye!

    Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
Back
Top Bottom