Nimemsikia masanja mkandamizaji anapigia debe mradi wa maji mwanga katika segment yake maarufu kama mtalii wa ndani.
Kwenye tangazo Hilo masanja anasema eti kwenye mradi ule zimetumika trilioni 335 fedha za kitanzania.
Hili jambo linawezekanaje wakati hiyo hela kwa uelewa wangu ni bajeti ya...
Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni.
Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima.
Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema:
Tangu hapo:
Hakujulikana tena...
2025: Pyramids FC
2024: Al Ahly
2023: Al Ahly
2022: Wydad Casablanca
2021: Al Ahly
2020: Al Ahly
2019: Esperance de Tunis
2018: Esperance de Tunis
2017: Wydad Casablanca
2016: Mamelodi Sundowns
2015: TP Mazembe
2014: ES Setif
2013: Al Ahly
2012: Al Ahly
2011: Esperance de Tunis...
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
HUYU N Mwenyekiti WA kamati ya WAAMUZI
Nasoro hamduni wiki iliyopita kahojiwa mbona watu wanalalamika sana kwa WAAMUZI mbona hamuwaadhibu
Akajibu hawana mazoea ya kutangaza ADHABU za WAAMUZI wanawaadhibu kimya kimya
Leo kahojiwa huyoohuyoo hahaa anasemaa tumesikia kelele za wananchi zimekuwa...
Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam
Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana
Tunamjua Sugu, pamoja na urafiki wake na Samia ila kasimama imara kusambaza No Reforms No Election
Tunamjua Mdude...
Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto...
Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500
Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani
Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini
Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa
Else mambo ya...
Ingawa nilianza kupiga kura mwaka 2000, lakini sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Ingawa sina Chama, nilikuwa ninafurahia ninapoona ushindani wa kisera kati ya CCM na CHADEMA! Kwa bahati mbaya, mpaka sasa hakuna uhakika wa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu.
Vyama...
Jaman wapendwa wangu, naomba msaada wenu. Nimejaribu kuingia tweeter a.k.a X lakini nashindwa jamani. Nataka nifuatilie habari za nchi yetu na mambo mengine.
Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu.
Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye.
Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin.
Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike.
Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
Dah! Yaani hata sielewi...
Kuna huyo mwanamke tulitokea kupendana sana.
Previous (Early 2023), alikuwa jirani tu wa kawaida, ila kuna kipindi mipango yangu ilikwenda mrama sana, nikasumbuliwa na janga la njaa kali. I'll never forvet the day niliyoanguka kolidoni nusu nife, alikuwa katulia...
GT.
Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake?
Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola
Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote
Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
Mgambo wakiamrishwa nyuma geuka, yule aliyekuwa wa kwanza, huwa wa mwisho, na yule aliyekuwa wa mwisho huwa wa kwanza
Kipindi cha awamu iliyopita, tuliungana wote kumpinga Magufuli hasa kwenye suala la kupotea kwa watu na kuonekana kwenye viloba, leo wana ccm mnataka kusema hamlioni hili?
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.