mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hii ajali ya same iliyouwa watu 50 mbona sijaiona jamiiforums?

    Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ubunge sio ajira? Mbona wenye ajira ndio wanao kuomba wasio na ajira hawaombi

    Vijana wasio na ajira mbona hawajitokezi kuomba ujira UO? Mbona wenye ajira ndio wanao omba ubunge? Kasoro king msukuma ndo Hana ajira maana Hana elimu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbona kama upepo umebadilika tena? Oktoba Tunatiki kama wameshinda vile. NRNE kama imepoteza nguvu vile.

    Sasa hivi naona kama vile NRNE imepooza vile. Ni kama vile CCM wame vuka kigingi cha NRNE at least kwa mwaka huu... Tundu Lissu wafuasi wake wamemtelekeza. Na Mambo mengine yanaendelea kama kawaida. Let's wait and see
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona CHAUMA na ACT wamechukia sana Bunge kutovunjwa?

    Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes. Cha kushangaza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama hawapo bungeni na mawazo yao ni kama watarudi au hatawatarudi?

    Wote hawapo hapo walipo. Wanagonga meza kama ushahidi tu. Wengi wao wanawaza tu juu ya kurudi mjengoni maana walishazoea maposho na malipo ya kikao .
  6. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yale Mabango ya Barabarani Mama ametimiza mwaka huu mbona hayapo?

    Wakuu ! Nawasalimu kwa jina la JamiiForums, Where we dare to talk openly Kama kichwa cha huu uzi kinavyonieleza hapo juu. Kumbe hawa Watendaji wa Serikali huwa wanaelewa sana yale maneno ambayo huwa yanazungumzwa na Viongozi wa Chadema majukwaani (Tundu Lissu na John Heche). Hawa jamaa...
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona CCM ya Sasa hivi inaelekea kuwa CCM ya 2015 kurudi nyuma

    Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu. Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche. Samia...
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mbona ni kama Rais Samia kaanza kampeni tayari?kwa nini hachukuliwi hatua na mamlaka?

    Huyu mtu anayoyaongea kwenye mikutano yake ni kama vile tayari kaanza kampeni. Naomba achukuliwe hatua tafadhali.
  10. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ilisaidia Urusi kwenye vita vya Ukraine, sasa mbona inafanyiwa yote haya huku Urusi ikikaa mbali

    Sio siri, Iran inapigika haswa, uongozi wa kijeshi umefutwa, wanasayansi wamefagiwa, makambi ya kijeshi yamesambaratishwa, Israel imeteka anga, ndege zake zinaruka huku na ule zikipiga popote zinachagua kupiga, ilhali hii Iran moja ilijiingiza kwenye ugomvi wa Urusi na Ukraine, imekuaje...
  12. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  14. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

    GT Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi? Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

    Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kasongo mbona weoooo

    Kasongo ye ye, mobali na ngai Kasongo nga nawe oh, zonga libala eh Kasongo unaahirisha mechi, huku ukijua unavunja kanuni Kasongo unachomeka waamuzi, unalazimisha ubingwa timu moja Kasongo ye ye, mobali na ngai Kasongo nga nawe oh, zonga libala eh Kasongo yo yo, mobali na ngai Kasongo nga nawe...
  18. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona uchaguzi wa mwaka huu, hauna Shamrashamra, ndelemo na vifijo?

    Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli. Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu

    Mmmh Mkurugenzi mzima wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu
Back
Top Bottom