Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

Huyu mgeni wangu mbona kama simsomi?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,965
Reaction score
26,152
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
 
Sasa kweli ndiyo uje umdhalilishe humu kisa katoka kijijini na kalala uchi?

Kwanza kwa nini uingie chumba cha mgeni wako? Gonga hodi kwanza. Wewe ni mshamba kuliko mgeni wako
 
Sawa tushakujua una nyumba huo ulofanya ww ni unafiki tu watu hamna koromeo kila kitu kukisema tu

Ss huku mtandaoni iyo nyumba yko haitusaidii kitu jamii imekua ya kijinga sanaa
Kwanini uje kumtangazia huku jukwaani?
 
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba cha wageni aje tu ili apunguze gharama.
Jamaa kafika tumepiga story za hapa na pale tukaagana kila mmoja akaingia chumbani kwake kulala.sasa chumba nilichomuandalia ndiko mimi huwa napatumia kunyoosha nguo zangu,nikakumbuka umeme unasumbua nikisema ninyooshe nguo asubuhi naweza nikaamka nikakuta umeme umekatika tayari.so ile naingia chumbani kwake nikamkuta jamaa kavua nguo zote afu kalala kifudifudi,nikatoka kwanza chumbani nikiwa namuwaza ,jamaa inakuaje analala hivyo,kashindwa kulala hata na boxer kweli?
Nimeshindwa kumsoma
Wewe jamaa kiboko
 
Jikite kwenye hoja mkuu
 
Story za maskini hizi kila siku ni habari za uchi tu. Juzi uliona uchi wa mama ya rafiki yako leo umeuona uchi wa ngeni wako.

Hongera sana.
 
Mkuu ukimpa mtu chumba mpe uhuru na faragha yake iheshimu. Hii tabia mtu anakukaribisha kwake kisha anaanz kukuchunguza huwa sipendi sana. Huwez karimu mtu ache aende zake, sasa unaimgia chumba ulichompa mtu akitumie wti unazuga na nguo mkononi
 
Back
Top Bottom