Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,451 Reaction score 9,967 Apr 30, 2025 #1 Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,800 Reaction score 12,590 Apr 30, 2025 #2 Hizo zimebandikwa tu kijana Haina uhalisia wowote... Za wazee wakazi bila shaka
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,861 Reaction score 136,763 Apr 30, 2025 #3 Gari za wenyewe hizo Jiongeze Ova
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,713 Reaction score 131,997 Apr 30, 2025 #4 Magari ya wenye nchi hayo. Jaribu na wewe kufanya hivyo uone kitakacho kukuta.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,692 Reaction score 21,061 Apr 30, 2025 #5 Mchochezi said: Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?View attachment 3320571 Click to expand... Hizi za wazee wa nyakuanyakua!Umenielewa.
Mchochezi said: Hili gari namba A ni kama linanipa mashaka, wataalam ipoje hii?View attachment 3320571 Click to expand... Hizi za wazee wa nyakuanyakua!Umenielewa.
Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,200 Reaction score 1,833 Apr 30, 2025 #6 Nimesoma koment lakini bado sijaelewa
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,451 Reaction score 9,967 May 1, 2025 Thread starter #7 Kelvin35 said: Nimesoma koment lakini bado sijaelewa Click to expand... Nenda Veta
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,751 Reaction score 1,251,439 May 3, 2025 #8 Ndio habari ya mjini kwa sasa
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,869 Reaction score 32,710 May 3, 2025 #9 Gari za kazi, zinabadilika plate number, kutokana na mazingira na kazi iliyoenda kufanywa. Usije shangaa tena, ukaikuta na kibao bado haijasajiliwa.
Gari za kazi, zinabadilika plate number, kutokana na mazingira na kazi iliyoenda kufanywa. Usije shangaa tena, ukaikuta na kibao bado haijasajiliwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,926 May 3, 2025 #10 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw