mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona Salama Jabir haolewi na hana Mtoto

    Naona kama umri umeshasonga sana vile. Au yeye ni mdogo kwa Celebrities wengine kama Zamaradi nk
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi waafrika wanyama walitukoseaga kitu gani, mbona inakuwa ngumu kuishi nao ?

    Kama mtu akifa anarudi duniani kama mnyama, Afrika inipite kushoto kabisa
  4. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
  5. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Mkwakwani mbona kama iko vile vile hata baada ya matengenezo

    Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
  6. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  7. 3

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi iphone 17 zitakazo toka mbona kama siwaelewi

    Iphone 17 itatambulishwa tarehe September 12, 2025. Naona kampuni imejiweka sana na kamera kuliko lolote.
  10. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Eid ni Amani, Amani, Amani Mbona hawazungumzii HAKI?

    Habari Wananchi? Hivi Hawa watu wanaohubiri kuitunza amani yetu hawaoni kwamba ni Serikali na ccm ndiyo wanaohatarisha Amani yetu kwa kung'ang'ania kukumbatia mifumo mibovu ya chagizi zetu? Ujumbe huu wa amani Kila Kona kwa siku ya Leo nadhani ni mpango maalumu ili watu watakapokuwa wanadai...
  11. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Why we sleep? Na mbona ukikurupushwa unakuwa na wenge?

    Huwa najiuliza sana why we sleep? Tukilala Huwa tunakwenda wapi? Tunapolala fofofo ndiyo Huwa tunafanya majaribio ya kufariki? Je je mbona ukimshtua ghafla mtu aliyetoka kulala usingizi mzito ukamuuliza kitu Huwa ni kama hana kumbukumbu zozote ? Naitaji kujua why we sleep?
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

    Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
  13. Chakaza

    JamiiForums Tanzania CCM Mbona Mnafeli? Majibu ya NO REFORMS NO ELECTION Yanapaswa Kutolewa na NEC au Serikali na Sio CCM Maana Nanyi Ni Washindani!

    Ni wazi Makalla na yule Babu Wassira pengine hawajui kuwa CCM ni washiriki wa uchaguzi kama ilivyo Chadema, ACT, CUF nk au bado wao ni OLD FASHIONED kiasi cha kushindwa kutofautisha CCM chama na Serikali katika utendaji. Chadema wao wanapanbana na Tume ya uchaguzi na Wizara ya sheria/mambo ya...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  15. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  16. excel

    JamiiForums Tanzania Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

    Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo.. hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo.. Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili.. Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela.. Badilikeni..
  17. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

    Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera. Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je, bado hajakidhi vigezo au kuna ya gizani tusiyoyajua?

    Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi bodi ya ligi na TFF wanajielewa kweli? Mbona kama wanavyotoa ufafanuzi ndio wanakosea zaidi,au hawajisikilizi wanachosema!

    Wanasema Simba hakugomea mechi,ila wao ndio walighairisha. Swali ni je,kati ya wao bodi na Simba nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa rasmi kuwa hakutakua na mechi? Simba walitangaza usiku wa kuamkia siku ya mechi kuwa wao rasmi hawatocheza mechi.na kulivyokucha asubuhi ya siku ya mechi bodi...
Back
Top Bottom