Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa?
Ni kama wamekanyaga kaa la moto!
Kifupi imenishangaza sana.
Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo.
Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
Utaratibu wa sherehe za kabila la kalabari nchini Nigeria, Bibi harusi hacheki wala kutabasamu mbaka atosheke na pesa anazopatiwa na Bwana harusi wakati wa ndoa za kikabila.
Tazama video hapa👇
Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maisha—ikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa mara ni ChatGPT.
Swali ninalojiuliza ni hili: “Hivi ChatGPT ni mlokole?” Mbona inaonekana wazi...
Mara nyingi mambo haya hufanywa ktk mazingira ya Giza na Kiza kinene. Kukatwa kwa umeme majira ya usiku nchi nzima kwa masaa 6 siyo Jambo la kawaida. Huwenda ndiyo mpqngou nakamilika.
Eeh Mungu! Na iwe hivyo.
Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma.
Nashindwa kujua hii shida ni kwangu tu au ja wengine mmekutana na hii changamoto?
Huku Bandarini tangu DP World wamekuja mambo yamekuwa magumu kwa Wafanyakazi, hatuna over time.
Pia wafanyakazi wengi wamehamishwa, yaani tafrani tupu, kubwa zaidi ni kuwa hatulipwi kwa wakati, mfano sasa hivi tulipaswa kupewa pesa zetu za rent tangu June mpaka leo tunaitafuta August 2025 bado...
Sisi tulijua bosi huyu bosi wetu kama mama yetu ana mume ila tukumuona mume wake hata kanisani ila tunamuona bosi aliyekuwepo kipindi cha nyuma kuwa naye karibu.
Ina maana bosi hata mtoto wako pendwa japo hayupo ofisini anaweza kuwa na kaka yake mtoto wa bosi wa zamani ambaye ni yule mtumishi...
Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya?
"Ningewachambulia hapa ripoti za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali namna zinasema manenomabaya. Hizi ripoti...
Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari.
Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu mnawezaje?
- vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇
1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!!
2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
Kwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme mnatuambia upo mpk wa ziada?
habari zenu Tanzania? nipo Netherlands nawasalimia sana. Huyu jamaa anayeonekana kwenye Mahakama ndo Mwanasheria/ Wakili Mkuu wa Serikali? mbona anaonekana mzito sana hata kuchambua mambo na kujieleza? hawa watu wanachaguliwa kwa namna gani ? na bado hayupo vizuri katika sheria namwona ana...
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.