Subir kesho, hili sio suala la kufungulia uziMkuu E-loan ndio haifunguki kabisa
Hata E-Transfer nayo ni majanga
Unataka kufanya nini Mkuu? Mwisho wa mwezi mbona bado sana 🤔ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..?
Inasikitisha sana!Walimu mnamatatzo sana, utakopa kesho
Anataka kula bia wewe una mwambia atakopa kesho 🤣🤣Subir kesho, hili sio suala la kufungulia uzi
Walimu ni wapuuz wa mwisho kama unakua na acess ya Bank yake na namba ya simu unaweza kopa hata milioni 30 kwenye ess za wapumbavu, washukuru tu kua Kuna hatua nyingiAnataka kula bia wewe una mwambia atakopa kesho 🤣🤣