Wakuu mbona h?amkunipa muongozo mzuri?

Wakuu mbona h?amkunipa muongozo mzuri?

under500

Senior Member
Joined
Jul 2, 2026
Posts
105
Reaction score
176
Picha linaanza wakuu nimezoea Mafinga ukifika rood unasubili magari yaishe ndo uvuke Leo apah Dar Si nimekaa masaa ma wili nasubili magari ya ishe lakin hayaishi ndo nikaona wat wanavuk TU ivo ivo ndo na mm nikaamua nivuke

Yan wakuu amkunipa mwongozo mzur sjui mlikua mnataka nitie aibu kwanza
 
Kiokote karudi kwao Morogoro, Mapung'o yupo Tandika na Ndumilakuwili yupo Central Police kakamatwa na kosa la utapeli hawa ulikuwa unawaona kwenye magazeti lakini wapo Daslamu hao
 
Back
Top Bottom