Mbona majambazi yamepotea?

Mbona majambazi yamepotea?

URA WAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2025
Posts
399
Reaction score
755
Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?

Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.

Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?

Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
 
TeknolojiA
 
Yamekuwa machawa kwenye vyama, ndo yanayouawa waandamanaji.
 
Yameachwa yaibie taifa kimamlaka hivyo hawana njaa kwa sasa,wanakwiba hadi kusaza!
 
Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?

Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.

Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?

Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Wamebadili mfumo na mbinu,,hawaibi,kupora wala kunyang'anya kwa sasa wameboresha ni utapeli wa kutumia akili nyingi kuna mpaka ofisi rasmi za utapeli
 
Back
Top Bottom