Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta.
LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
HAbari zenu wakuu.
Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo.
katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
Niko njia panda naagaje kwenda kusapua course 1 ilinikamata na wazazi wanakuja fika vyuo vikuu vinafunguliwa mwezi 10
Sasa Mimi nasapua mwanzoni wezi wa 9
Nimebuni mbinu hizi ila wapi?
1.Tumeitwa na mama Samia anataka kuongea na sisi baadhi ya wana chuo
2. Nawahi kufatilia masuala ya mikopo...
Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara zimevuja, mara zimefanyaje sijui....
Katika forum nyuzi 10 za sportz 7 ni kuhusu Simba. Iwe kwa mabaya...
Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo linawaka moto. Wakiwa chini ya uangalizi wa walimu wao na maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa...
Kujifunza kitu kipya ni rahisi, lakini kukikumbuka kwa muda mrefu mara nyingi ni changamoto. Wanafunzi, watafiti, na hata wafanyakazi kazini mara nyingi hukutana na hali ya kusoma kwa bidii lakini baada ya muda mfupi kusahau mengi waliyosoma.
Habari njema ni kwamba kuna mbinu za kitaaluma na za...
Wakuu,hamjambo?
Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account,
Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza.
PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
Kwenye Mada moja kwa moja,
Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI (hana anachoweza) badala yake katikati panapwaya ~ Morocco wanasogea kirahisi bila pressure.
Clement...
Miaka nenda rudi nimekuwa nikisema kuwa hakuna maana yoyote ile kushiriki katika chaguzi nchi hii.
Hiyo ni kwa sababu chaguzi zote zimekuwa ni maigizo tu.
Nimekuwa nikisema kwamba, kushiriki uchaguzi ambao utaendeshwa na kusimamiwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na mwenyekiti wa CCM...
Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake.
Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za...
1. Mbinu ya “Chaguo la Uongo” (False Choice Trick)
Mfano:
“Ungependa tukutane saa 9 au saa 11?”
Kwa nje inaonekana ni wewe unachagua, lakini kisaikolojia chaguo zote mbili zinampeleka mpangaji kwenye anachotaka.
Saikolojia Inavyofanya Kazi:
Hii inaitwa Illusion of Control. Wakati ubongo wako...
Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua
Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu wana uwezo wa kuwashawishi wengine kwa urahisi? Sio kwa sababu wanatumia nguvu, bali wanajua siri za saikolojia ya binadamu. Kuelewa mbinu hizi kunaweza kukusaidia katika biashara...
1. CCM imeshajua kuwa watanzania wana njaa, tena njaa kali.
2. CCM anapigilia msumari hapo hapo, anawa starve zaidi kwa mbinu ya vitisho, kukosa ajira kwa wasomi etc etc .
3. Then anawarushia vipande vya mkate, such as .ajira kidogo, baiskeli, pikipiki, visenti kwa timu za mpira etc...
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi.
====================
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh kwa mwezi
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi.
===============
Nafanya usimamizi wa Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi. Karibu.
Mawasiliano: 0756704145, nipo mkoa wa dar es salaam
SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA
Usipozijua utaendelea kuwashangaa
Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya siri tu wanatumia kuendelea kukuza utajiri wao...
1. Group Buying ya Nguvu
wanaungana makundi na...
Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu
leo nakusogezea hii huwa haisemwi
Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks (ISSBs) badala ya matofali ya kawaida au mawe ya saruji.
✅ Faida za ISSBs:
Hakuna haja ya kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.