mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ambao tunaweza kuunga bao tatu tukutane tupeane mbinu za kufikisha nne

    Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati. Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme tayari inatosha. Hakuna raha kama kuweza kupiga show kwa ufasaha. Mwanamke ukiweza kumpa mahitaji yake...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisasa ya kupumbaza umma kisiasa—sura ya nje dhidi ya ukweli halisi nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital. Kwa mtazamaji...
  3. gstar

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme nchi nzima ni mbinu ya kupooza maandamano ya July 7

    Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

    Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama Kuna mbinu za kukwepa kifo Cha mapema

    Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk. Kwanini Bado naishi?
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Psychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao

    Psychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao. Watu hupenda kuhisi: • Wameeleweka • Wamesikilizwa • Na wana control Ukijifunza kuelewa body language, silence, emotions, na communication patterns, utaanza kuelewa watu kwa...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Revealed: Mbinu Mpya ya Kushinda Uchaguzi Tanzania.. Must read

    Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua ya kwanza: Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi. Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
  9. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Kati ya "Kupiga soga" na "Kusinzia mezani": Ni mbinu gani unaitumia sasa hivi kukabiliana na usingizi wa mchana ofisini/kazini?

    Habari za mchana huu wa kazi wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Sote tunajua lile bishano kubwa la ndani ya moyo linalotokea kila ifikapo saa saba hadi saa tisa mchana—pale mwili unapotamani kulala lakini majukumu yanakuambia "amka!" Hebu tuchangamke kidogo hapa kwa upendo na ucheshi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza

    Shetani anatumia mbinu kubwa 10 kutuangamiza Maandiko katika kitabu cha Zaburi 119:105, yanasema: “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu”. Hakika tukilifahamu Neno la Mungu, hata tukifungiwa katika chumba chenye giza tukapewa mshumaa na Biblia tu, tutaweza kueleza mambo yote...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Urojo Mtaaamu, tumia mbinu hii

  13. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Mbinu 75 za kuwa homeless duniani

    Achana na mkeo 2. Nenda ulaya urudi 3. Soma sana 4. Usisome kabisa 5. Jua kuandika 6. Uwe mwongeaji 7. Ujue hotuba za nyerere 8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa 9. Usijue soko liko umbali gani 10. Safiri mikoa mingi 11. Ishi hotelini muda mrefu 12. Ishi lodge muda mrefu 13. Pata fedha usisafiri...
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

    Single mother wote wakiingia kwenye mahusiano mapya huwa hawawaongelei vizuri wazazi wenzao. Hauwezi kusikia anasema "baba mtoto yupo anampenda na kumjali sana mwanae" . Mara zote utasikia "hata sijui yupo wapi. Atajua mwenyewe na maisha yake" Do you think that's coincidence? no, it's a...
  15. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
  16. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Jiunge CCM
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo?

    Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu? Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣 CCM chali kifo cha mende Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya CHADEMA ya "Win the crowd, and fate will kneel before you" ipo 70% kuelekea kuiangusha CCM

    Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana za kuishinda serikali iliyopo madarakani. 2. Elewa, Serikali inaweza kutawala nchi, lakini...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Said Mwema: Tulibaini zilipangwa mbinu zaidi ya 16 ili jambo hili (maandamano) liweze kufanikiwa

    IGP mstaafu Said Mwema ameyasema hayo wakati tume ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa Aprili 23, 2026
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM badilisheni mbinu. Hawa GenZ fikra zao zipo mbali na fikra za CCM(Conservativeness)

    Mpo salama! 1. CCM ni chama Dola, kikongwe na ambacho kimefanyia mambo mengi mazuri nchi yetu ikiwemo Umoja wa kitaifa tangu 1961 mpaka hivi karibuni ambapo kidogo mambo ndio yameanza kukorogana. Umoja wa kitaifa hapa tunazungumzia kiwango kidogo cha Ubaguzi wa kikabila na udini. Kwa hilo CCM...
Back
Top Bottom