Heshima kwenu wakubwa zetu Smart911 na Mahondaw
Mimi Kijana Masikini na Mpenzi wangu Marry Diana tunaomba mtupe siri ya mafanikio juu ya kudumu kwenu kwa muda mrefu kwenye Mapenzi.
Tunajuwa nyinyi sio waongeaji sana lakini tunaomba madini ya kutosha kutoka kwenu.
Tunatanguliza shukrani...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani...
Ni mbinu inayotumiwa na baadhi ya serikali au vyombo vya mamlaka pale wanapotaka kutekeleza ajenda fulani bila kukumbana na upinzani mkubwa kutoka kwa wananchi.
🔹 Problem: Wanaanzisha au wanaruhusu kutokea kwa tatizo fulani kubwa.
🔹 Reaction: Wananchi wanapaniki, wanaogopa, wanadai suluhisho.
🔹...
Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu
Nisaidieni mistari wakuu kabla hakajalala nikachane makavu
Makazini kuna vita nyie?
Kila nako enda kufanya kazi vita inanizidia nipo sehemu ya tatu sasa kote vita hizi zimenishinda maadui zangu wananishinda.
Nadhani ni kwasababu ya personality yangu.
Mi si mtu wa kujipendekeza
Sina shobo
Nafanya kazi yangu naenda nyumbani.
Lakini game inaonekana...
Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine.
Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu.
Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi...
ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA.
1.PILIPILI KALI
Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana.
JINSI YA KUTENGENEZA
...gramu 55 za pili pili
..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5...
Naanzisha huu uzi kuwasaidia wagonjwa watarajiwa wa Monkey poxy.
Ukiona dalili au homa za muda mfupi jitahidi sana ukague mwili wako ukiona kipele (nimeweka picha) mwoneshe daktari haraka sana.
Sidhani kama kuna tiba special ila kuna dawa za kutuliza (utapewa dawa nyingi sana)
Meza kila...
Habari,Leo napenda kutoa elimu juu ya mbinu Bora za kufanikiwa kwenye mifugo yako;
---
✅ 1. Chagua Aina Bora ya Mifugo
Tumia mbegu bora (high-yielding breeds)
Angalia lengo lako: nyama, maziwa, au uzao
✅ 2. Malisho Bora na Lishe Sahihi
Hakikisha chakula ni cha kutosha na chenye virutubisho...
Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali.
Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi
1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
Inaelezwa kwamba polisi walishindwa kumpata Gwajima ilhali walikuwa wamemzunguka. Maswali yanayoibuka ni je, aliwezaje kuwatoroka.
https://youtu.be/yQ2zT0LD5qg?si=Brdvz6bRNVe6d2_e
TANGAZO: ‘Likizo Time’ Mlete mwanao asome nasi katika kituo chetu kwa kipindi hiki cha likizo, masomo yote...
Uzinzi unasababisha mateso makubwa kwa watu wengi duniani. Miongoni mwa mateso hayo ni kuambukizwa Virusi vya Ukimwi(VVU), vinavyodhoofisha kinga ya mwili na kuhatarisha maisha. Kwa mujibu wa ripoti ya UNAIDS ya mwaka 2024, jumla ya watu wanaoishi na VVU duniani ni takriban milioni 39.
Uzinzi...
Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale...
Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia...
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba...
TUNAZIJUA MBINU ZA CCM, TUTAWAKABILI WATAKAVYOKUJA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 umetokana na uzoefu wa kutosha walio nao kuhusu mbinu, ujanja na...
Kwenye safari yangu ya kutumia maudhui ya mtandaoni especially Facebook nimejifunza kitu. Unaweza kuweka content murua kabisa lakini ikawa na views 200 kwa wiki au wiki mbili na ukaweka content ya kawaida kabisa ikapata viewers million 1 kwa siku mbili au moja.
Nina account Instagram ila hata...
Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza...
KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Upo kwenye Vita.
Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde;
1. Nguvu kazi(jeshi)
Jeshi ni wewe Mwenyewe!
2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita.
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.