Ukitazama kwa umakini utagundua kuwa hakukuwa na sababu za msingi za kumkamata John Wegesa Heche.
Sasa sababu ni nini?
Wanatamani maandamano madogo ili kukwepeaha yale makubwa. Tusikubali .
Jamaa kama kuna kitu wanaogopa ni maandamano ya pamoja ya Tanzania nzima ,lengo lao wapate kamaandamano...