Nikubalie Mimi, ila naokota makopo ndio kazi yanguSio kweli...
NB: Mimi ni mwanamke 😂
Kwann huyo anaekula bure asiwe analala nayo?Jidanganye we unagharamikia na kuna baharia anakula bure!
Sa umechelewa mnunua vyuma chakavu kashaniwahi😂Nikubalie Mimi, ila naokota makopo ndio kazi yangu
Na bila kinogesho hampendi 😂Mapenzi Sio pesa,japo inatumika kama kinogesheo!
Mhmmm kinogesho ndio yanakua pesa sasaMapenzi Sio pesa,japo inatumika kama kinogesheo!
Maneno haya si mageni mtaani na vinywani mwa wanawake wengiMapenzi Sio pesa,japo inatumika kama kinogesheo!
Money can't buy love_Humenature 2009Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk
Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Mbinu no.2 hakikisha mbinu no.1 haikupigi chengaMbinu no 1 ni pesa