Haya Mafunzo ya udereva kwa wiki mbili yanaukweli?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,247
Reaction score
6,615
Kuna Haya mafunzo ya udereva kwa wale ambao ni wamiliki wa leseni kwa muda wa wiki mbili??

Je vyeti ambavyo vinatolewa vinatambulika na serikali??

Je vyeti hivyo vinaweza kutumika kama sehemu ya Fani??

Au ni sehemu ya upigaji tu na ujanja ujanja??

Naomba ambaye anajua anipe maelezo!!

Au niende veta tu kwa mwezi mmoja na wiki moja kuliko hivi ya wiki mbili?
 
Uwongo hayo kabisa

Toka leseni yangu ime expire sija renew mwaka sasa
 
Duh
Unataka kujifunza kuendesha gari mwezi mzima?
Kwanza ilitakiwa kuwa wiki moja tu inatosha
 
Wewe ni ile aina ya watu wajuaji
Sasa wewe una leseni tayari, ina maana unajua kuendesha, unataka kukaa mwezi darasani ?

Ngoja nikupe uelewo kwenye nchi za watu wanavyofanya
Na hii kwa wale hata hawajawahi kuendesha gari
Kuna kuwa na mitihani miwili, wa kwanza ni Theory, unatakiwa kujifunza mwenyewe binafsi , kutumia kitabu, unasoma sheria zote za barabarani, halafu unafanya mtihani
Ukipasi, ndio unaruhusiwa kufanya mtihani wa practical, yaani kuendesha,
Unaenda hivyo vyuo, unawaambia mimi nina hela ya masomo ya siku saba(wiki) au siku 14(wiki mbili)
Hapo ni mafunzo ya kuendesha tu, zinatosha sana, halafu unaenda kutestiwa, kwani bongo wanatestiwa vipi, au ukipita huko moja kwa moja unapewa leseni bila majaribio na wakufunzi wa serikali?
Basi kama ni mnapewa tu leseni kutoka huko, mtatuua
 
Aliekuambia kama mimi ninajua kuendesha gari nani? Ndio maana nakuambia acha ukuaji Mkuu
Umeandika mengi ila pumba tu
 
Back
Top Bottom