Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,437
- 46,182
Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva.
Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi huo, na yeye alikubali.
Ghafla baada ya muda akashangaa kuona Madee amemtumia Sh2 milioni, ndipo akabidi ahoji ni kitu gani kinaendelea.
Baada ya kuelezwa kuhusu wazo hilo, Sugu akaona hatuweza kuwa sehemu ya mradi huo lakini kwa maana nzuri tu.