Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.
Siku chache baada ya malalamiko kuripotiwa kuhusu gharama za uzoaji taka kwenye makazi ya watu kuwa juu katika baadhi ya mitaa ya Mbezi Beach B, ikidaiwa kuwa kuna kampuni inayotoza Tsh. 15,000 kwa mwezi kwa nyumba badala ya Tsh. 3,000 hadi 5,000 kwa mwezi, ufafanuzi umetolewa.
Malalamiko yako...
Hii barabara ni kero sana tena sana. Mbunge wetu anaishia kutupanga kila mara. Hii barabara isipotengenezwa mpaka 2025 tutaona hakuna tofauti kati ya mbunge huyu aliyepo na yule aliyekuwepo.
Haiwezekani barabara ikawa mbovu kiasi hiki wakati huo sisi tuna mwakilishi. Mzee Magufuli (RIP)...
Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600
Pia soma:
DART: Sababu ya uhaba wa mabasi ya Mwendokasi Vituoni, ni hakuna mfumo rasmi wa kuongozea...
Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
Wandugu kwema,
Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.
Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
Habari JF,
Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba
Chumba kiwe ni kikubwa na Master.
Mwenye nyumba aisiwe kwenye nyumba moja.
Wapangaji wasiwe wengi (8+).
Kuwe na uzio/fensi...
Kama kawaida Kituo cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, leo tena Agosti 11, 2023 hakuna mwanga, giza limetawala na kusababisha usumbufu mkubwa wa watumiaji.
Hii sio mara ya kwanza wala ya pili kwa hali hii kutolea katika Kituo hiki kilichopo karibu na Stendi Kuu ya Mabasi ya...
Hapa Mbezi Luis Stendi barabara ya kwenda Kinyerezi ilivyojaa msongamano wa machinga na bidhaa zao ambazo ziko kando ya barabara na kusababisha barabara kuzidi kuwa finyu licha ya wembamba wake tangu kutengenezwa, siku dereva yoyote akishindwa kulimudu gari likaenda pembeni litaua watu wengi...
Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana.
Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
Niende kwenye hoja Moja Kwa moja.
Hii stend itakuja kusababisha mauaji na viongoz kuanza kujitetea kwa kuleta sababu na matetezi.
Hizi ngaz kiunganishi cha vituo viwili vya daladala. Watakuja kufa watu. Mungu aepushie mbali. Mh charamila mkuu wetu wa DSM una viongozi wasiojali utu wa watu...
Taa za Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho haziwaki na hali ya Giza imetawala eneo hilo na hivyo kuhatarisha Usalama wa mali na abiria wenyewe.
Mpishano wa magari unaendelea huku purukushani za watu nazo zikiendelea hivyohivyo.
Kwa ninavyowaona vijana ambao...
Kuna kitu kinanishangaza Sana...ukienda Manzese Hadi vichochoroni kuna lami...ukienda Yombo kuna lami mitaani tu huko Buza Hadi vibarazani kuna lami...
Ukifika Mbezi Beach ukishatoka Bagamoyo road Tu ni vumbi juu ya vumbi...majumba makali ...eneo planned lakini barabara vumbi....wakati ukienda...
Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya.
Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya.
Mimi naishi Mbezi...
Nimeangalia maelezo ya Meneja wa TANROAD mkoa -DSM ndugu Haruon Senkuku alipohojiwa na muandishi wa habari kuhusu malalamiko ya wakazi wa maeneo ya Mbezi-Msumi wanaolalamia TANROAD kutokuijenga barabara na wakihoji kuhusu mkandarasi anayejenga kakipande kasikofika hata km 1 ambapo anaifanya...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.
Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu...
Majukumu yako
Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa
Mshahara
200,000 kwa mwezi
Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi.
ELIMU
Uwe umefika Chuo chochote
Usikie na kuelewa...
Nianze kwa kutoa pongezi kwa JamiiForums.com kutupazia sauti kuhusu gharama kubwa iliyokuwa ikitozwa kupata huduma ya choo Mbezi stendi ya daladala, hatimaye bei imeshuka na kuwa sh. 200.
Bei ya choo ilikuwa kero kubwa sana hasa kwa watu wenye shughuli zao maeneo ya stendi, bei hiyo...
kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...