Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,281
Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto muda huu. Chanzo bado hakijafahamika.
Waliopo karibu na eneo watupatie taarifa zaidi.

Chanzo: EATV
EhodMYcWAAEqxcc.jpeg

EhodMYkX0AEsNex.jpeg

EhodMYjXgAAqugb.jpeg
 
zimamoto wawahi haraka kabla moto haujafika kwenye wodi za wagonjwa
 
sasa acheni kusema ndaga ndaga , mwagieni maji , ndaa !!! ndaaa!! hazitazoma moto
 
Unaweza ukakuta store ya vifaa vya kuokolea funguo zake hazijulikani zilipo tangu Mtunza store astaaf miaka kadhaa

Sawa na ile story ya panton kuacha funguo za store ya makoti ya kujiokolea ofcn kwa mkuu wa kivuko kisa yanaibiwaga sana
 
Mtu amepumzika anapambana na maumivu yake mara purukushani za kukimbia moto.

Pole sana kwa wagonjwa.
 
Back
Top Bottom