Huduma zimesimama ili kuruhusu zoezi la maboresho kufanyika. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema Mei 03, 2021 Meli hiyo ya Abiria na Mizigo ilipata changamoto ya kupigwa mawimbi makubwa katika Bandari ya Matema kuelekea Bandari ya Mbamba Bay
Hatua hiyo ya maboresho inazingatia umuhimu wa...
Mheshimiwa Samia!
Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza.
Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi...
Jana usiku nimefika mjini Mbeya nikafikia maeneo ya Igawilo, leo nilikuwa nina appointment na daktari kwa magonjwa yetu ya uzeeni.
Asubuhi hii nimejihimu stendi ili nipate gari niende mjini. Nimeshangaa sana kuona hakuna daladala. Nimepanda bajaji toka Igawilo hadi Kabwe kwa kutoa 1,500/=...
Mdau mbunifu mmoja wa kitanzania amependekeza muonekano mpya wa Uzi wa Mbeya City FC kwa ajili ya msimu ujao kama watafanikiwa kubaki LiGi KUU Tanzania.
Una mp asilimia ngapi?
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya.
Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi...
Habarini Wakuu,
Urgently Sales people Needed as specified Location above, Please forwards your CV to mkisidamalizi@gmail.com before 8/05/2021 . Please specify your currently location on your Mail.
Company; Keeway Motor Tanzania Ltd.
Location; Mbeya, Mtwara and Arusha.
Position: Sales Personal
Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia .
Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
Wabunge wetu mlioko Bungeni, Dodoma mnaotoka Mbeya.
Mtajionyesha umahiri wenu toka siku ya kwanza kabisa bungeni, lakini umahiri huo hatuuoni.
Kero kubwa za Mbeya, kwanza ni barabara.
Main road ya Tanzania kwenda Zambia ni mbaya sana, ukiingia Mbeya mjini malori ya mixigo mizito inapishana na...
Wakati Mbeya fm inaanzishwa kuna mtangazaji mmoja alikuwa akijiita tolu wa ajabu. Kipindi hicho tulikuwa tunaiona radio hiyo ya kizembe sana. Kiss ndiyo ilikuwa inabamba.
Sasa nimeambiwa kuwa yule Tolu wa ajabu ndiye Adam Mchomvu!! Linaukweli hiki?
Bujibuji
Hii ndio Taarifa ambayo Mwekezaji Mzalendo Ndugu Mbilinyi ameisambaza kwa vyombo vya habari vya ndani na Nje ya Nchi , wakati akitia Saini Mkataba huo wa kusimamia masuala ya Logistics mbele ya jopo la Wanasheria wake wa Kimataifa na washauri wake wa masuala ya biashara Mjini Iringa
Sugu...
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo...
Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini.
Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya.
Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake.
Chanzo: HAROUBTV.
Je, unafahamu sehemu inayoitwa Mama John?
Mwili wa John hatimaye umesafirishwa kuelekea Kijiji Cha Lugombo kata ya Mwaya wilaya ya kyela kwaajili ya Mazishi.
Atazikwa karibu na mama yake mtu maarufu mama John. Historia imemaliza mwendo Apumzike salama KAMANDA.
Walaaniwe walioudhulumu uhai...
Huyu bwana nabii anaitwa david Stefano Mpanji ana unguruma sana huko Mbeya na anapigwa sana vita na watumishi wengi wa mungu huku na yeye akiwa ni mrusha madongo mzuri kwa wenzake.
Kanisa lake linaitwa GMCL pia ana radio ambayo pia inaitwa GMCL ambako huko ndio hubwabwaja sana na si kumhubiri...
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.
Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.
Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.
Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.
Na...
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.