mbeya

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Daladala za Igawilo – Soko Kuu (Mbeya) zinaishia Kabwe badala ya kufika Soko Kuu, hiyo ni kero kubwa

    Kila siku asubuhi natumia usafiri wa daladala kutoka Igawilo kwenda katikati ya mji, jijini Mbeya. Kero kubwa tunayokumbana nayo ni baadhi ya daladala kutokufuata njia zilizoandikwa kwenye vibao vyao. Kwa mfano, gari lenye route ya Igawilo – Soko Kuu mara nyingi huishia Kabwe badala ya kufika...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Geita Ipewe Hadhi ya Jiji. Imekidhi Vigezo vya Idadi ya Watu na Mapato ya Ndani na Kuzipita Mbeya na Tanga

    Natoa wito Kwa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Geita kuwa Jiji kwani Ina vigezo stahiki. Ukiacha vigezo vya ujumla lakini Geita imekishi vigezo muhimu zaidi vya Mapato ya ndani ambapo Kwa mwaka wa fedha 2015/26 imefanikiwa kukusanya zaidi ya Bilioni 27.Mapato haya ni zaidi ya Majiji ya...
  3. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwazi kama Japan, Korea, Singapore na Ulaya?

    Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Machief: Mbeya atakayeandamana atakuwa halali yetu

    Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kikosi kazi Cha injili MBEYA kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile:siku moja tuwaone Hawa wapambanaji

  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya ndiyo mkoa unaongoza kuwa na wajane wengi? Wanaua waume zao

    Mkoani Mbeya leo linafanyika kongamano la wajane linalolenga kuwaunganisha na fursa za kiuchumi baada ya kuondokewa na waume zao, ili kuwaepusha na manyanyaso ya kifamilia. Je, hatua hii itasaidia kuboresha maisha ya wajane na kuondoa changamoto wanazokumbana nazo? Tuandikie maoni yako
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeshindwa kusafiri kisa Uhamiaji Mbeya wamechelewesha passport yangu

    Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
  8. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Niliishi Mbeya kuna maswaibu yalinikumba sitosahau, mpaka nikahama!

    Na huo ndo ukweli Wanaroga vibaya sana Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
  9. IamChasulwa

    JamiiForums Tanzania Ikonda Hospital vs Hospital ya Rufaa (Zonal) Mbeya

    IKONDA HOSPITAL VS HOSPITAL YA RUFAA (ZONAL) MBEYA Habari ya wakati huu watubwa Mungu!! Ni tumaini langu mko poa sana. Naleta uzii huu kuuliza juu ya nini kinafanya hospitali hizi zinazopatika nyanda za juu kusini. Ikonda kwa jina maaru ila inaitwa CONSOLATA HOSPITAL IKONDA,ipo huko mkoani...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Pongezi hospital ya rufaa Mbeya

    Habari Hii siyo kero ni pongezi Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA. Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na 1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana. 2.Madaktari wanajitoa vizuri...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Bodaboda wa Uyole acheni mikusanyiko isiyo rasmi, kuepuka mkono wa sheria

    Polisi Kata ya Uyole Jijini Mbeya, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Charles Buyuya amewataka Maafisa Usafirishaji wa Stendi ya Makasini Uyole Junction kuwa mabalozi wa Amani katika maeneo yao. Wito huo ameutoa Juni 25, 2026 wakati akizungumza na Maafisa Usafirishaji hao ambapo aliwasisitiza...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wakuu hii picha ni CHADEMA wakisomba watu kwenye mikutano huko Mbeya kama anavyosema Mohamed Kawaida?

  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bodaboda waungana na mbunge Patrick Mwalunenge, wako tayari kutoa shilingi elfu moja moja kwaajili ujenzi wa barabara

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali. Baadhi ya wabunge wamekosoa pendekezo hilo wakidai kuwa linaweza kuwa mzigo kwa waendesha bodaboda...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

    Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
  15. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mbunge azomewa na bodaboda Mbeya

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu. Fwanda...
  16. UTPC

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB

    Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa. Ni takribani wiki ya pili sasa baadhi ya wanafunzi wanaotumia...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi . Kwa zaidi ya miezi mitatu, hakuna umeme wa uhakika

    Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka husika kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Wananchi wamevumilia kwa muda mrefu sana. Kwa zaidi ya...
  19. UTPC

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mzige: Misitu inapopotea Chunya -Mbeya, kiwango cha hewa safi ya oksijeni kinashuka, hewa ukaa ikiongezeka

    CHUNYA, MBEYA Katika miaka ya hivi karibuni, athari za mabadiliko ya tabianchi zimeanza kujidhihirisha kwa kasi kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya. Wilaya hii, ambayo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ina idadi ya wakazi takriban 344,471, kwa sasa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya Jiji: Nusu ya fedha za kujikimu kwa ajira za Walimu wa mwaka 2025 hatujalipwa

    Ni zaidi ya mwaka sasa tangu walimu tuliopata ajira mwaka 2025 turipoti kazini, lakini bado hatujalipwa fedha za kujikimu ambazo ni stahiki ya kila mtumishi wa umma. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma, fedha hizi zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba baada ya mtumishi kuripoti katika...
Back
Top Bottom