KERO MBEYA, Kata ya OLD FOREST Maji maji yamekatika leo siku ya 4

KERO MBEYA, Kata ya OLD FOREST Maji maji yamekatika leo siku ya 4

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi wakazi wa Mbeya kata ya Forest ya zamani tuna siku ya4 maji yamekatika na hakuna taarifa yeyote ile kutoka mamlaka husika tulikua tunaomba mamlaka ishughulikie mapema Suala hili.
 
Back
Top Bottom