Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima...
Mkoani Mbeya leo linafanyika kongamano la wajane linalolenga kuwaunganisha na fursa za kiuchumi baada ya kuondokewa na waume zao, ili kuwaepusha na manyanyaso ya kifamilia.
Je, hatua hii itasaidia kuboresha maisha ya wajane na kuondoa changamoto wanazokumbana nazo? Tuandikie maoni yako
Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026.
Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
Anonymous
Thread
mbeya
passport
safari
safari yangu
sana
uchungu
uhamiaji
yangu
Na huo ndo ukweli
Wanaroga vibaya sana
Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama
Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
IKONDA HOSPITAL VS HOSPITAL YA RUFAA (ZONAL) MBEYA
Habari ya wakati huu watubwa Mungu!!
Ni tumaini langu mko poa sana.
Naleta uzii huu kuuliza juu ya nini kinafanya hospitali hizi zinazopatika nyanda za juu kusini.
Ikonda kwa jina maaru ila inaitwa CONSOLATA HOSPITAL IKONDA,ipo huko mkoani...
Habari
Hii siyo kero ni pongezi
Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA.
Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na
1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana.
2.Madaktari wanajitoa vizuri...
Polisi Kata ya Uyole Jijini Mbeya, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Charles Buyuya amewataka Maafisa Usafirishaji wa Stendi ya Makasini Uyole Junction kuwa mabalozi wa Amani katika maeneo yao.
Wito huo ameutoa Juni 25, 2026 wakati akizungumza na Maafisa Usafirishaji hao ambapo aliwasisitiza...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali.
Baadhi ya wabunge wamekosoa pendekezo hilo wakidai kuwa linaweza kuwa mzigo kwa waendesha bodaboda...
Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu.
Fwanda...
Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo.
Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni
Sehemu kubwa ya misitu ya...
Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB
Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa.
Ni takribani wiki ya pili sasa baadhi ya wanafunzi wanaotumia...
Anonymous
Thread
boom
crdb
heslb
kuchelewa
kuhusu
majibu
mbeya
must
wanafunzi
wanafunzi wa must
watumiaji
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka husika kutekeleza wajibu wake kwa wananchi.
Wananchi wamevumilia kwa muda mrefu sana. Kwa zaidi ya...
CHUNYA, MBEYA
Katika miaka ya hivi karibuni, athari za mabadiliko ya tabianchi zimeanza kujidhihirisha kwa kasi kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya.
Wilaya hii, ambayo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ina idadi ya wakazi takriban 344,471, kwa sasa...
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu walimu tuliopata ajira mwaka 2025 turipoti kazini, lakini bado hatujalipwa fedha za kujikimu ambazo ni stahiki ya kila mtumishi wa umma. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma, fedha hizi zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba baada ya mtumishi kuripoti katika...
Anonymous
Thread
ajira
fedha
fedha za kujikimu
jiji
kujikimu
mbeya
walimu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani.
Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
Moja ya maswali ambayo watu wengi wanauliza mara kwa mara hapa jukwaani ni kwa nini Mbeya ni jiji. Wengine wanasema kuwa hata miji kama Iringa, Moshi na Morogoro ingefaa kuitwa jiji kuliko Mbeya.
Ukiangalia sababu kubwa inayofanya watu kuleta comparison kama hizi utagundua wengi wao wanaangalia...
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800.
na wakati umbali hauzidi hata km 10 ??
Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin tunalipa 1000, lakini pia hata ukiwa unashuka vituo vya njiani wanatoza 1000
pia kituo hadi kituo nauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.