Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,882
Reaction score
29,377

Screenshot_20260624_171044_WhatsApp.jpg

Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
 
Mkuu karibu Chadema
Kuliko kumpigia kura yule kigagula Tulia Ackson au huyu Patrick Mwalunenge, nitampigia kura mpinzani yeyote atakayetokea. Haya mazezeta siyataki tena.

Eti Jiji la Mbeya lilikuwa na Naibu Spika 2015-20 halafu Spika 2020-25, na Spika ndiyo boss wa Wabunge wote na uwaziri wao. Ameshindwa kuifanya Mbeya ipate kilomita 22 za barabara ya lami?

Kwa sasa Urambo na Makambako ziapendeza kuliko Mbeya
 
Back
Top Bottom