Mbunge azomewa na bodaboda Mbeya

Mbunge azomewa na bodaboda Mbeya

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
264
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu.

Fwanda ametoa kauli hiyo leo Juni 21, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia sintofahamu na vurugu zilizojitokeza kwenye mkutano uliotishwa na Mbunge Mwalunenge. Mwenyekiti huyo amepinga vikali madai kuwa aliwapanga vijana kwenda kuvuruga mkutano huo, akisisitiza kuwa kilichotokea ni hasira ya madereva wenyewe kutokana na mbunge "kukurupuka" na kuitisha kikao cha kuwavizia.

Kiongozi huyo ameeleza kuwa kundi la bodaboda mkoani Mbeya limejengwa kwa gharama kubwa, ikiwemo kupoteza maisha na mali ili kuleta utulivu, na kwamba hatua ya mbunge kuitisha vikao vya siri pasipo kuwashirikisha viongozi wao ni mkakati wa kuingiza siasa na kuwagawa madereva hao waliokuwa wametulia.

"Mheshimiwa mbunge amekurupuka kwa sababu alitakiwa akutane na mimi ambaye ndiye kiongozi wao, mimi ndio nimwalike yeye aje kuongea nao. Siwezi kupanga vijana zaidi ya 1,000 wajitetee wenyewe isipokuwa mbunge hakufuata utaratibu. Alitaka kunivizia nikiwa sipo ili aongee nao, jambo ambalo limewagawa vijana wetu kisiasa," amesema Fwanda.

Fwanda ameongeza kuwa kabla ya kikao hicho, mbunge alimpigia simu na kumwamuru afike, lakini yeye alimfahamisha kuwa alikuwa na ratiba ya kwenda msibani na hakuwa na taarifa yoyote ya awali ya kikao hicho. Ameitaka Serikali na viongozi wengine kujifunza namna ya kuheshimu mifumo ya sekta ya usafirishaji badala ya kuibua migogoro mipya.

Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa Mbunge Mwalunenge kama anataka kusikiliza kero za bodaboda wa jiji zima, awasiliane na uongozi rasmi ili uitishe mkutano mkuu utakaoendeshwa kwa uwazi na umoja mbele ya viongozi wao.
Sasa Live inaendelea kufuatilia mgogoro huu na itakuletea majibu au msimamo wa Mbunge Patrick Mwalunenge kuhusu tuhuma hizi.

#SasaLive #BodabodaMbeya #PatrickMwalunenge #MbeyaMjini #SiasaZaMbeya #HabariZaHiviPunde #UongoziNaUtaratibu
 
Wanataka kuingiza u-CCM kwa bodaboda ila wajanja wamewastukia.
 
Huyu ndo juzi kaandisha Kodi ya baraabara kupitia Bodaboda!!? Kwa hiyo amewahi ili kujikosha? Alitaka kuwaambia wao hawahusiki?
 
Nampongeza huyo Mwenyekiti na wale bodaboda walio mzomea siku nyingine watumie na mawe kumpopoa

elfu moja kila mwezi kuchangia sio halali kodi wanakatwa ktk mafuta, leseni ya udereva, namba ya pikipiki, bima na bado trafik wanawasumbua
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Mbeya, Aliko Fwanda, amemwambia ukweli Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, akidai kuwa kiongozi huyo hana mamlaka ya kuitisha kikao cha madereva hao bila kufuata utaratibu na kuwashirikisha viongozi wao wakuu.

Fwanda ametoa kauli hiyo leo Juni 21, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia sintofahamu na vurugu zilizojitokeza kwenye mkutano uliotishwa na Mbunge Mwalunenge. Mwenyekiti huyo amepinga vikali madai kuwa aliwapanga vijana kwenda kuvuruga mkutano huo, akisisitiza kuwa kilichotokea ni hasira ya madereva wenyewe kutokana na mbunge "kukurupuka" na kuitisha kikao cha kuwavizia.

Kiongozi huyo ameeleza kuwa kundi la bodaboda mkoani Mbeya limejengwa kwa gharama kubwa, ikiwemo kupoteza maisha na mali ili kuleta utulivu, na kwamba hatua ya mbunge kuitisha vikao vya siri pasipo kuwashirikisha viongozi wao ni mkakati wa kuingiza siasa na kuwagawa madereva hao waliokuwa wametulia.

"Mheshimiwa mbunge amekurupuka kwa sababu alitakiwa akutane na mimi ambaye ndiye kiongozi wao, mimi ndio nimwalike yeye aje kuongea nao. Siwezi kupanga vijana zaidi ya 1,000 wajitetee wenyewe isipokuwa mbunge hakufuata utaratibu. Alitaka kunivizia nikiwa sipo ili aongee nao, jambo ambalo limewagawa vijana wetu kisiasa," amesema Fwanda.

Fwanda ameongeza kuwa kabla ya kikao hicho, mbunge alimpigia simu na kumwamuru afike, lakini yeye alimfahamisha kuwa alikuwa na ratiba ya kwenda msibani na hakuwa na taarifa yoyote ya awali ya kikao hicho. Ameitaka Serikali na viongozi wengine kujifunza namna ya kuheshimu mifumo ya sekta ya usafirishaji badala ya kuibua migogoro mipya.

Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa Mbunge Mwalunenge kama anataka kusikiliza kero za bodaboda wa jiji zima, awasiliane na uongozi rasmi ili uitishe mkutano mkuu utakaoendeshwa kwa uwazi na umoja mbele ya viongozi wao.
Sasa Live inaendelea kufuatilia mgogoro huu na itakuletea majibu au msimamo wa Mbunge Patrick Mwalunenge kuhusu tuhuma hizi.

#SasaLive #BodabodaMbeya #PatrickMwalunenge #MbeyaMjini #SiasaZaMbeya #HabariZaHiviPunde #UongoziNaUtaratibu
Badala ya kumchapa makoffi
Mnaishia tu kumzomea
Ndugu zangu wasafwa
Mnafeli wapi!?
 
Huyu Mbunge mbumbumbu sana. Alipita kwa kununua kura kuanzia stage ya kupitishwa kwenye wilaya na mkoa wakati wa kura za maoni. Pia alitoa sana rushwa siku ya uchaguzi.

Mbeya haistahili kuwa na Mwalunenge, piga chini huyu mkazi wa Kyela
 
Back
Top Bottom