mbeya

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi halmashauri Mbeya aagiza wagonjwa kutibiwa kabla ya malipo

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imeweka msisitizo kwa Hospitali za Serikali wilayani humo, kuhudumia wagonjwa kabla ya malipo ili kuokoa maisha na kupunguza malalamiko. Hatua hiyo imetajwa ni kutekeleza maagizo ya Serikali katika kusimamia sera ya afya kwa vitendo kwa lengo la...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mbeya: TECU na TANROADS Mkoa, Wakagua Ujenzi wa Daraja la Sungwe la barabara ya TANZAM

    Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe lililopo katika barabara ya TANZAM mkoani Mbeya na kuridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA BoxerCc 125Bei 1.3milioni Mbeya

    Boxer Cc 125 Bei 1.3mln Mbeya 0769103506
  6. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

    Habari za asubuhi Ndugu zangu, Naombeni mnisaidie bajet ya kununua tofali za block 3000 hapa mbeya.
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania NIDA Mbeya kwanini vitambulisho vinafutika kabla ya kuwafikia raia? Hamuoni kama mnachezea kodi zetu makusudi?

    Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika jambo moja mara kwa mara wakati pesa inayopotea ingeweza kufanikisha utekelezaji wa masuala ya msingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

    Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024: 1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8 2. Mwanza -Trilioni 14.6 3. Mbeya - Trilioni 11.6 4. Morogoro -Trilioni 9.8 5. Arusha - Trilioni 9.7 6. Tanga - Trilioni 9.5 7. Geita - Trilioni 9.3 8. Kilimanjaro - Trilioni 9.3 9...
  12. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi SIDO Mbeya ndio wa kushindwa kunichongea spare part hii?

    Nimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa siku tunaanza kusumbuana mara sijui bits za kutobolea za drilling machine zinavunjika vunjika,je...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana

    Mbeya licha ya kuwa na mitaa mingi iliyojengwa hovyo bila mpangilio, lakini mtaa wa Uzunguni ni mzuri sana Uzunguni kumepangiliwa vizuri, kuna miti mingi, hata hali ya hewa ya utofauti, na majengo yameachiana space, kati ya jengo moja na lingine. Uzunguni ni mtaa ambao upo kimya sana, kiasi...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania KERO Kuanzia airport Mbeya mpaka Songwe njia imefunga

    Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Marry Timotheo ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wake, alikuwa anamuadhibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde. Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Waandamanaji Mbeya wanaendelea kukusanyika na mabango

    Mbeya wanaendelea kukusanyika wananchi watatulia madai yao yakisikilizwa Ila vitisho haviwezi kuwatuliza. Wamebeba mbango yanayosomeka: Uchaguzi urudiwe Tume huru Utekaji NO Samia must go Free Tz
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RPC Mbeya: Msishawishiwe kushiriki maandamno yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga, ametoa wito kwa Vijana wanaojihusisha na shughuli za bodaboda kutojihusisha au kushawishiwa kuingia kwenye maandamano yasiyo halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo vinaweza kuhatarisha amani, usalama na ustawi wa maeneo yao. Amesema jeshi...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Mbeya City|NBC Premier League| Meja Jeneral Isamuhyo Stadium| Desemba 04, 2025| Saa 19:00 Jioni

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC leo, Mnyama Simba atashuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kikosi cha Simba kitaongozwa na kocha wao wa muda mrefu ndani ya klabu, Seleman Matola. Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita, klabu ilimtangaza kumfuta kazi Meneja Mkuu Dimitar...
  20. canular

    JamiiForums Tanzania Nguara (Ngualla) Rare Earth Project inapatikana karibu na Kijiji cha Ngwala, umbali wa takriban 147 km kutoka mji wa Mbeya, kusini mwa Tanzania,

    Wanganyika wanauliwa kwa haya mengi Ugunduzi na Uchunguzi wa Awali • Mradi wa madini adimu wa Ngualla uligunduliwa na Peak Resources mwezi Agosti 2010. • Uchimbaji wa awali wa visima na tafiti za kubainisha rasilimali ulifanywa na SRK Consulting, SGS, na wataalam wengine wa kijiolojia...
Back
Top Bottom