mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kilimanjaro Natives Cooperative Union (KNCU) kilivyowainua Wachagga na kuwafanya kuwa 'mbele' hata leo hii

    Ukisoma kitabu Desturi za Wachagga utaelewa kwa nini Wachagga wako mbele kuliko makabila mengi ya Tz. Kwanza kitu kikubwa sana kilichowatoa ni kupanda kahawa na kuwa na hiki chama Kilimanjaro Native Cooperative Union(KNCU) kama chama kikuu cha ushirika. Chama hiki kiliongozwa na mzungu kwa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Simba Sc-Wenye nchi tunaiweka nchi mbele

    Maandalizi yote ya tukio letu yamekamilika. Muda mfupi kutoka sasa tukio la wenye nchi tukiiweka nchi mbele litaanza. Tunakwenda kuzindua jezi za Simba za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tumepata baraka zote kutoka kwa mdhamini mkuu M-Bet."- Semaji la CAF Ahmed Ally.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukipunguza wivu na kupendana taifa letu litaenda mbele zaidi

    Leo naomba niseme tu ya moyoni bila kuweka siasa. Jamii zetu sisi kama Watanzania kwa kuishi kwangu nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Lakini nimekaa na jamii tofauti, nimetembea nchi tofauti na kuona jamii zao lakini vilevile nimeishi na watu wa jamii karibia za aina zote hapa Duniani...
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dunia haisimami na haitasimama kamwe, adui asiyethibitishwa kwa Lissu hayupo, tusongeni mbele

    Kuendelea kuwa na hasira juu ya wasiokuwepo ni ujinga na kupoteza muda! Muda hausubiri bali tukitaka muda utusubiri ni kufanya tulimbikize mambo mengi yatupasayo kufanya sasa! Dunia iko mbaali sana kuliko mahali sisi tulipo! Tuna matatizo ya kiuchumi na umasikini wa watu uliokithiri Tunakaa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TANESCO atakiwa kujieleza mbele ya Kamati ya Bunge (PIC)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), imewatimua vigogo wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo kwa Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika hilo. Mbali na hilo, kamati hiyo imewataka vigogo wa shirika hilo kuandika barua...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yasogeza mbele kesi ya aliyekutwa na sehemu za siri za kike

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo. Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
  8. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania "Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

    Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA. Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwa wadogo zangu wa kike na wakina dada kwa ujumla, tabia ya kujiachia mbele ya ndugu wa kiume tuwaachie Wazungu

    Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili. Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kuna atakayethubutu kuikemea Ofisi ya Msajili wa Vyama hasa Naibu mbele ya Rais hapo kesho?

    Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukabila una nguvu kuliko udini

    UKABILA ni ushamba na ugonjwa wa akili. Udini pia ni ushamba na ugonjwa wa akili. Sisapoti udini wala ukabila wala ukanda ila ninazungumzia uhalisia. Mwanadamu hujiona yupo so much connected na mtu wa kabila lake au rangi yake kuliko mtu anae share nae dini yake ambae sio wa kabila lake...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

    Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi. Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
  14. Poker

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni masharti ili muolewe

    Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini! Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na...
  15. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa shule ya msingi akumbushia stori hii mbele ya mchumba wake

    Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

    Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno! Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m Morocco! Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
  18. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Mambo tunayaona sasa hivi magumu, miaka inayokuja huko mbele yatakuwa ya kawaida sana

    Habari za mda huu ndugu zangu wanajamii forum. Dunia imepita kipindi tofauti tofauti sana, kipindi kile enzi za binadamu wa mwanzo kabisa walitumia dhana za mawe kujipatia chakula,kipindi chuma hakijaja. Kipindi chuma kimekuja kilikuwa kinaonekana ni kitu cha muhimu sana,binadamu wote...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tunaujasiri tena wa kusimama mbele za Wakenya kuwaringishia SGR yetu?

    Viongozi wetu ki ukweli mnajua kutuaibisha saaana yaani! SGR ya Wakenya tulikuwa tukishinda hapa kuwacheka na kuwalingishia ya kwetu kwamba, lao linatembea mwendo wa kinyonga, na ya kwetu itakuwa mithili ya bombardier yaani! Mlivyotufanyia viongozi wetu kwenye hizo behewa tuu, inatosha kabisa...
  20. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya CCM: Je, January na Nape watakatiza mbele ya Wajumbe wenye hasira?

    Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini. Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao...
Back
Top Bottom