Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,467
3,381
Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe

DANIEL 1:

31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha.

32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba;

33 miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo.

34 Nawe ukatazama hata Jiwe likachongwa bila kazi ya mikono, nalo jiwe hilo likaipiga sanamu miguu yake, iliyokuwa ya chuma na udongo, likaivunja vipande vipande.

35 Ndipo kile chuma, na ule udongo, na ile shaba, na ile fedha, na ile dhahabu, vilivunjwa vipande vipande pamoja vikawa kama makapi ya viwanja vya kupepetea wakati wa hari; upepo ukavipeperusha hata pasionekane mahali pake; na lile jiwe lililoipiga hiyo sanamu likawa milima mikubwa, likaijaza dunia yote.

36 Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme.

37 Wewe, Ee mfalme, u mfalme wa wafalme, na Mungu wa mbinguni amekupa ufalme, na uwezo, na nguvu, na utukufu;

38 na kila mahali wakaapo wanadamu, wanyama wa kondeni na ndege wa angani amewatia mkononi mwako, naye amekumilikisha juu ya hao wote; wewe u kichwa kile cha dhahabu.

39 Na baada ya zamani zako utainuka ufalme mwingine mdogo kuliko wewe; na ufalme mwingine wa tatu wa shaba, utakaoitawala dunia yote.

40 Na ufalme wa nne utakuwa na nguvu mfano wa chuma; kwa maana chuma huvunja vitu vyote na kuvishinda; na kama chuma kisetavyo vitu hivi vyote, ndivyo utakavyovunja-vunja na kuseta.

41 Na kama vile ulivyoziona hizo nyayo za miguu na vidole vyake, kuwa nusu udongo wa mfinyanzi, na nusu chuma, ufalme ule utakuwa ufalme uliogawanyika; lakini ndani yake zitakuwako nguvu za chuma, kama vile ulivyoona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope.

42 Na kama vidole vya zile nyayo vilikuwa nusu chuma na nusu udongo, kadhalika ufalme ule utakuwa nusu yake una nguvu, na nusu yake umevunjika.

43 Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.

44 Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele.

Ni taifa gani lililowahi kugawanyika?

Kwa nini vita hivi vinaenda sambamba na uimarishaji wa Ruble ya Urusi?

Soma kwa makini utaelewa maana ya ile fedha!

Urusi ndio taifa ambalo ni lazima lije liiongoze dunia, na utawala wake kwa inavyosema Grand book, litaiongoza dunia kwa mkono wa chuma ambapo kutasimamishwa sanamu ambayo itaamriwa kila mtu aisujudu, na ole wake asiyetii,

Ni utawala ambao hautaamini katika Mungu, na Mungu mwenyezi kwa hasira yake, atakuja kuukomesha utawala huu na kusimamisha utawala wake wa milele ambapo kwa mjibu wa Kitabu hicho, utakaliwa na Watakatifu tuu!!

Asomaye na aelewe!!

Na kadri tunavyoenda, na kwa sababu taifa hilo, limeanza kujipanga kufanya hivyo kwa muda mreeefu sana nyuma,

Watawala wa dunia wa awali, wataweka vikwazo wakiamini ni Mrusi anaumia, kwa kutokujua kuwa yeye alijiandaa kwa muda wa kutosha, watakuwa wakiumia wao na kisha hawatakubali, itabidi waingie vitani, na ndipo mandalizi ya mtawala huyu mpya, atayadhilisha kwa kuuangusha utawala uliokuwa mwanzo na kuchukua uongozi

Na ndipo ataweka sheria zake ambazo Nazi tambura his he yeyeto muamini Mungu!!

Na mwishoni kabisa mwa vita hivyo, Taifa la Israeli litashambuliwa kwa hasira Kali kutoka kwa mtawala huyu mpya, na hali hiyo kama Muumba wa mbingu na nchi kama hatosimama, Wayahudi hawatasalimika!!

Unaweza kuziita ndoto, au uwongo na kwa namna yoyote iwavyo, ila hivi ndivyo itakavyokuwa!!

Muwe na Jumapili njema
 
Nimewahi SEAT ila naiuza: Huu ndio mwisho wa Putin na Rasia kwa ujumla
 
Attachments

  • FB_IMG_16530616663875520.jpg
    FB_IMG_16530616663875520.jpg
    26.2 KB · Views: 20

Nchi inazidiwa na GDP ya California bado unambwelambwela
 
Hii hata masheikh hawatakuunga mkono ✋. Elewa kwamba yaliyoandikwa katika kitabu cha Daniel tayari yaliishatimia kitambo sana.

Nchi maskini kama Russia haiwezi kamwe ikatawala dunia. Taifa la kutawala dunia lazima lugha anayotumia iwe inatumiwa na wengi ktk dunia na pesa yake pia lazima iwe inatumiwa duniani kote. Russia hana sifa zote hizo.

Hivyo hakuna wa kuja kuiondoa Marekani kwenye nafasi hiyo mpaka mwisho wa dahari.
 
Hii hata masheikh hawatakuunga mkono . Elewa kwamba yaliyoandikwa katika kitabu cha Daniel tayari yaliishatimia kitambo sana.

Nchi maskini kama Russia haiwezi kamwe ikatawala dunia. Taifa la kutawala dunia lazima lugha anayotumia iwe inatumiwa na wengi ktk dunia na pesa yake pia lazima iwe inatumiwa duniani kote. Russia hana sifa zote hizo.

Hivyo hakuna wa kuja kuiondoa Marekani kwenye nafasi hiyo mpaka mwisho wa dahari.
Imeloa
 
Sanamu hiyo inawakilisha tawala nne zilizowahi kutawala dunia,
Babeli,umedi na uajemi,uyunani,rumi,na rumi +umoja wa ulaya.Baada ya hapo ndipo MUNGU atakuja kuziondoa tawala zote hizi na kusimamisha utawala wake utakaosimama milele ambapo watakaobahatika kuwepo(watakatifu) wataenjoy.RUSSIA haipo kwenye unabii,acha kudanganya
 
Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe

DANIEL 1:

31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha.

32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba;

33 miguu yake ni ya chuma; na nyayo za miguu yake nusu ya chuma na nusu ya udongo.

34 Nawe ukatazama hata Jiwe likachongwa bila kazi ya mikono, nalo jiwe hilo likaipiga sanamu miguu yake, iliyokuwa ya chuma na udongo, likaivunja vipande vipande.

35 Ndipo kile chuma, na ule udongo, na ile shaba, na ile fedha, na ile dhahabu, vilivunjwa vipande vipande pamoja vikawa kama makapi ya viwanja vya kupepetea wakati wa hari; upepo ukavipeperusha hata pasionekane mahali pake; na lile jiwe lililoipiga hiyo sanamu likawa milima mikubwa, likaijaza dunia yote.

36 Hii ndiyo ile ndoto, nasi tutaihubiri tafsiri yake mbele ya mfalme.

37 Wewe, Ee mfalme, u mfalme wa wafalme, na Mungu wa mbinguni amekupa ufalme, na uwezo, na nguvu, na utukufu;

38 na kila mahali wakaapo wanadamu, wanyama wa kondeni na ndege wa angani amewatia mkononi mwako, naye amekumilikisha juu ya hao wote; wewe u kichwa kile cha dhahabu.

39 Na baada ya zamani zako utainuka ufalme mwingine mdogo kuliko wewe; na ufalme mwingine wa tatu wa shaba, utakaoitawala dunia yote.

40 Na ufalme wa nne utakuwa na nguvu mfano wa chuma; kwa maana chuma huvunja vitu vyote na kuvishinda; na kama chuma kisetavyo vitu hivi vyote, ndivyo utakavyovunja-vunja na kuseta.

41 Na kama vile ulivyoziona hizo nyayo za miguu na vidole vyake, kuwa nusu udongo wa mfinyanzi, na nusu chuma, ufalme ule utakuwa ufalme uliogawanyika; lakini ndani yake zitakuwako nguvu za chuma, kama vile ulivyoona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope.

42 Na kama vidole vya zile nyayo vilikuwa nusu chuma na nusu udongo, kadhalika ufalme ule utakuwa nusu yake una nguvu, na nusu yake umevunjika.

43 Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.

44 Na katika siku za wafalme hao Mungu wa mbinguni atausimamisha ufalme ambao hautaangamizwa milele, wala watu wengine hawataachiwa enzi yake; bali utavunja falme hizi zote vipande vipande na kuziharibu, nao utasimama milele na milele.

Ni taifa gani lililowahi kugawanyika?

Kwa nini vita hivi vinaenda sambamba na uimarishaji wa Ruble ya Urusi?

Soma kwa makini utaelewa maana ya ile fedha!

Urusi ndio taifa ambalo ni lazima lije liiongoze dunia, na utawala wake kwa inavyosema Grand book, litaiongoza dunia kwa mkono wa chuma ambapo kutasimamishwa sanamu ambayo itaamriwa kila mtu aisujudu, na ole wake asiyetii,

Ni utawala ambao hautaamini katika Mungu, na Mungu mwenyezi kwa hasira yake, atakuja kuukomesha utawala huu na kusimamisha utawala wake wa milele ambapo kwa mjibu wa Kitabu hicho, utakaliwa na Watakatifu tuu!!

Asomaye na aelewe!!

Na kadri tunavyoenda, na kwa sababu taifa hilo, limeanza kujipanga kufanya hivyo kwa muda mreeefu sana nyuma,

Watawala wa dunia wa awali, wataweka vikwazo wakiamini ni Mrusi anaumia, kwa kutokujua kuwa yeye alijiandaa kwa muda wa kutosha, watakuwa wakiumia wao na kisha hawatakubali, itabidi waingie vitani, na ndipo mandalizi ya mtawala huyu mpya, atayadhilisha kwa kuuangusha utawala uliokuwa mwanzo na kuchukua uongozi

Na ndipo ataweka sheria zake ambazo Nazi tambura his he yeyeto muamini Mungu!!

Na mwishoni kabisa mwa vita hivyo, Taifa la Israeli litashambuliwa kwa hasira Kali kutoka kwa mtawala huyu mpya, na hali hiyo kama Muumba wa mbingu na nchi kama hatosimama, Wayahudi hawatasalimika!!

Unaweza kuziita ndoto, au uwongo na kwa namna yoyote iwavyo, ila hivi ndivyo itakavyokuwa!!

Muwe na Jumapili njema
 
Sanamu hiyo inawakilisha tawala nne zilizowahi kutawala dunia,
Babeli,umedi na uajemi,uyunani,rumi,na rumi +umoja wa ulaya.Baada ya hapo ndipo MUNGU atakuja kuziondoa tawala zote hizi na kusimamisha utawala wake utakaosimama milele ambapo watakaobahatika kuwepo(watakatifu) wataenjoy.RUSSIA haipo kwenye unabii,acha kudanganya
Umoja wa ulaya yaan zamani rumi iliyoanguka ambayo imeshazaliwa upya bado haijawa na nguvu kamili za kutawala dunia ila ndipo inapoelekea ila russia ni mfalme wa kaskazin ambaye ataongoza sehemu ya jeshi kwenda kuipiga israel ambapo hata hivyo pamoja na china na nchi zingine itaonekana kama zinafanikiwa kuipiga israel ila mwishowe Yesu atatokea na vita itakoma na russia na nchi zingine zilizozotaka kuiangamiza israel zitajikuta zikishindwa kuiangamiza. Ni kweli watakatifu wataenjoy kwelikweli kwenye ile karamu ya mwanakondoo then ile miaka 1000 ya utawala wa kristo hapa duniani na then ule umilele, Ila mtakatifu asipokuwepo kwenye unyakuo aisee ni sheedaaaaa maana hayo mapigo ya Mungu plus utawala wa mpinga Kristo itakuwa ni kipingi cha hatari kweli kweli yaan dhiki kuu ni dhiki kuu kwelikweli
 
Umoja wa ulaya yaan zamani rumi iliyoanguka ambayo imeshazaliwa upya bado haijawa na nguvu kamili za kutawala dunia ila ndipo inapoelekea ila russia ni mfalme wa kaskazin ambaye ataongoza sehemu ya jeshi kwenda kuipiga israel ambapo hata hivyo pamoja na china na nchi zingine itaonekana kama zinafanikiwa kuipiga israel ila mwishowe Yesu atatokea na vita itakoma na russia na nchi zingine zilizozotaka kuiangamiza israel zitajikuta zikishindwa kuiangamiza. Ni kweli watakatifu wataenjoy kwelikweli kwenye ile karamu ya mwanakondoo then ile miaka 1000 ya utawala wa kristo hapa duniani na then uke umilele. Ila mtakatifu asipokuwepo kwenye unyakuo aisee ni sheedaaaaa maana hayo mapigo ya Mungu plus utawala wa mpinga Kristo itakuwa ni kipingi cha hatari kweli kweli yaan dhiki kuu ni dhiki kuu kwelikweli
Hivi Israel ni taifa teule?mbona wanaua ovyovyo,wanasapoti ushoga?
 
Kumbuka jambo hili Israel haikujichagua kuwa taifa teule ilichaguliwa na Mungu mwenyewe na haikuchaguliwa kwa kuwa ni taifa safi mbele za Mungu la hasha! Mungu kwa uamuzi wake mwenyewe aliamua so iwe wanasapoti ushoga, iwe wanafanya dhambi zozote zile haiondoi kuwa ni taifa teule. Kama ambavyo wewe una dhambi, makosa na uovu lakini bado Mungu anakupenda na ukitii maagizo yake unapata neema ya kwenda mbinguni.
 
Back
Top Bottom